Picha hii inathibitisha Dar kuna shida ya chakula. Chapati zote hizo?

Kwa mda niliokaa USA sidhani kama niliwahi kukumbuka chakula cha Tanzania, labda kama huna hela.
Inategemea na maisha uliyokuwa unaishi bongo...ila 'homa ya nyumbani' inayombatana na hamu ya vyakula vya bongo unapokuwa ughaibuni ni jambo ambalo haliepukiki.
 
Watu hapo washapiga hesabu kuwa nyumbani jamani msiniwekee, hivyo kapunguza gharama ya share yake ya msosi ndivyo watu wengi hasa panapoitwa uswahilini hufanya hivyo.
 
Kuna wakati nilikuwa Punjab nikatamani sana kurudi Tz maana chakula chao dengu, maziwa ya nyati hapana aisee
 
Mshaanza sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Pole mkuu umeongea kwa uchungu sana
 
Unakula cottage cheese mkuu? Mixer mandarin oranges?πŸ™‚ jaribu vya ki Mexico angalau vi kinyumbani...
 

Hela ndefu wapi bhn stop bragging
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…