Picha hii ni somo kubwa kuwa maisha ni safari ndefu sana inayoandikwa ikifika ukomo

Lowasa kupitia rafiki yake wa damu na wa muda mrefu mtoto wa mjini na mwanamipango mh Jakaya Kikwete waliwaingiza chaka washamba hawa ili kuwapoteza maboya ktk uchaguzi mkuu uliyofanyika mwaka 2015. TB Jushua alitumika kama daraja tu kuwahadaa wanasiasa njaa wanaomsikiliza.
 
Hivi kwa ni lazima kuandika ushuzi
 
Unawashwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…