Picha: Hii ramani inatumika sana kueneza uwongo wa mashabiki wa magaidi ya HAMAS humu

Israel ni taifa kubwa hivyo vya mipaka vitakuwa vinamchanga kama vipi hapo akomae pote pawe ni Israel tu.
 
Ramani ya kwanza inayotumika kueneza uwongo, ila ramani ya pili ndio yenye uhalsia




Weka wewe ramani ya ukweli una chuki mbaya sana wewe na Wapelestina.
Ngoja nikupe darsa kiduchu.

The Government of Palestine 🇵🇸 In 1933 Jews came to Palestine as refugees with these permits.
 
Ramani ya kwanza iko sahihi achana na hadithi zisizo na kichwa wala.

Dini zinafanya watu wajinga kua wapumbavu zaidi na kukosa akili na utu kabisa.

Israel hana ardhi mashariki ya kati. Israel ni mvamizi wa wapalestina na anaikalia Palestina kinguvu.
 
kidume cha mbegu izrail anampelekea motoo mwarab...anamkamiaa hataree mazee...gaza patabaki historiaa
 
Kwahiyo ardhi yao ikwap
 
We gaidi badilika Hao magaidi wa Israel unawatetea juzi wamelipua Kanisa na kuwafyeka waumini woteView attachment 2817396

Msingewachokonoa, ale ni makatili wakianza kulipua mabomu wanafagia kilicho mbele, siku nyingine mtie akili na kuepuka maugomvi nao, endeleeni kuchinja Wakristo kama mlivyozoea lakini mtemane na Wayahudi, wameisambaratisha Gaza na hakuna kenge yoyote imeingilia hata kubwa la magaidi ya dini yenu Irani limeufyata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…