PICHA: Hili jengo linalojengwa Kariakoo kwa PPP ni balaa ni zaidi ya Mlimani City unaambiwa Serikali itajizolea zaidi ya TZS 2.5bn kila mwaka

Kama unatumia standard za Nje unakosea, hilo jengo lipo Tanzania, watakaokodi ni Watanzania, kama sio Watanzania waliokodi watauzia Watanzania, kivyovyote Rent zita reflect soko la Kariakoo, ukiweka Rent za Dubai ama London watu wata rent majengo mengine badala ya hilo.

Rent za kariakoo on average ni milioni 2 kwa frame za nje kama ni kubwa sana inafika 3-5M, frame za ndani laki 7 hadi 1.2M, unahitaji maelfu ya frame kugenerate 2.5B kwa mwezi, hakuna jengo la frame 2000 hapo.
Wabonge wamezoa kubisha kila kitu unadharauje 2.5bl kwa mwaka wakati hukuwa unapata chochote?
 
Billion 2 Kwa mwaka Kwa Kodi ya Serikali Hiyo ni pesa ndogo Sana tena haupaswi hata kupongeza
Huu ugonjwa wa kusifiana na kupongezana kwa vitu vidogo na vya kawaida nauchukia sana maana unafanya tushindwe kufikiri na kufanya mambo makubwa, unatufanya kushindwa kuona jinsi tulivyo nyuma kimaendeleo.

Yani kama hadi leo bado tunapongezana kwa sifa tele kisa kuzindua mradi wa maji au kuongeza majengo hospitalini, unadhani tutakuwa na akili ya kufikiria mambo makubwa?

Yani Tanzania utafikiri ni nchi ambayo ndio kwanza
imepata uhuru hivi karibuni haizidi miaka 10 kwa jinsi fikra za watu zilivyo.
 
Inastaajabisha Sana
 
Kama unatumia standard za Nje unakosea, hilo jengo lipo Tanzania, watakaokodi ni Watanzania, kama sio Watanzania waliokodi watauzia Watanzania, kivyovyote Rent zita reflect soko la Kariakoo, ukiweka Rent za Dubai ama London watu wata rent majengo mengine badala ya hilo.

Rent za kariakoo on average ni milioni 2 kwa frame za nje kama ni kubwa sana inafika 3-5M, frame za ndani laki 7 hadi 1.2M, unahitaji maelfu ya frame kugenerate 2.5B kwa mwezi, hakuna jengo la frame 2000 hapo.
Na miji mingine Kama Mwanza jengeni majengo ya maana acheni kupendelea sehemu moja tu Dar
 
1. Sio mimi ninaejenga hayo majengo

2. Huwezi lazimisha muekezaji ajenge unapotaka wewe, kila mtu ana tafuta Faida, sio kazi ya muwekezaji kujenga maghorofa ambayo hayatamlipa.
 
Kwahiyo mkuu uliona nimekwambia wewe?? kwahiyo ukiweka thread humu na watu wakachangia hiyo michango niya kwako??mean unakuwa media wewe?? acheni uzwazwa bhana!!
 
Kwa akili yako kiasi gani kinapaswa kulipwa? Hata mimi naona ni ndogo ukizingatia jengo litakuwa na wapangaji 900! Kwa K/koo unit ya biashara si chini ya Tshs 1,000,000 kwa mwezi! Hili jengo lingepaswa litengeneze Tshs 900,000,000 kwa mwezi na si chini ya Tasha 10 bln kwa mwaka
Kumbuka hiyi wanaigawana na muwekezaji..Yaani muwekezaji naavhukua 7.5billion na Serikali ni 2.5billion hapo hujakata Kodi ya mapato ya TRA hivyo hesa u zao ni saw
 
Naona watu wamekurupuka kuchangia uzi kwa mihemko bila kuelewa kilichoandikwa. Mmeambiwa mradi ni wa serikali na mbia. Wakati ujenzi ukiendelea serikali itakuwa ikijipatia 2b kwa mwaka na baada ya mradi kukamilika serikali itajipatia 2.5b kama kodi ya jengo (kumbuka m'bia naye ana mgao wake nje ya hizo 2.5b) na bado hapo serikali itakusanya kodi na shuru nyingine kutoka kwenye uwekezaji huo. Kwa namna wakurupukaji wanavyochangia ni kama walitaka serikali ikusanye kilakitu na mbia asipate chochote kitu ambacho hakiwezekani. Nilidhani tungempongeza kwanza Kafulila kabla ya kucomment kwa chuki na mihemko.
Ndo na Mimi nimewashangaa wachangiaji
 
Back
Top Bottom