imma mkatoliki
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 218
- 159
Wabonge wamezoa kubisha kila kitu unadharauje 2.5bl kwa mwaka wakati hukuwa unapata chochote?Kama unatumia standard za Nje unakosea, hilo jengo lipo Tanzania, watakaokodi ni Watanzania, kama sio Watanzania waliokodi watauzia Watanzania, kivyovyote Rent zita reflect soko la Kariakoo, ukiweka Rent za Dubai ama London watu wata rent majengo mengine badala ya hilo.
Rent za kariakoo on average ni milioni 2 kwa frame za nje kama ni kubwa sana inafika 3-5M, frame za ndani laki 7 hadi 1.2M, unahitaji maelfu ya frame kugenerate 2.5B kwa mwezi, hakuna jengo la frame 2000 hapo.
Huku bado sanaUmeongea pointi sana mkuu,
Tehama itatufanya tusihitaji Majengo makubwa labda stoo tu
Anachekesha huyoHuyo Kafulila akija rais mjuba atakaa jela muda mrefu sana.
Kama ni mjanja ajipange mapema. 10 storey building kwa 50B?
DDC wana eneo la kujenga Size ya Milimani City?
Unamaana gani wewe mzee?Kariakoo ni mji mkongwe hakunaga kitu kinaweza kufanyika tena pale
Vipi ikitokea Rais amekuwa yeye mwenyewe?Anachekesha huyo
Kariakoo unaokota b2.5 kwa mwaka hailipi.Vipi ikitokea Rais amekuwa yeye mwenyewe?
Kafulila anafanya kazi nzuri sana tena bila budget ya Serikali
Kwani mbona nasikia pale Ubongo tutaokota 1bn tuKariakoo unaokota b2.5 kwa mwaka hailipi.
Si washatufanya manyani, chuma kingekuwepo haya yasingekuwepo.Kwani mbona nasikia pale Ubongo tutaokota 1bn tu
Tuelezee jengo gani linalogenerate 2.5b Kwa mwaka kaliakooWewe upo wapi kwanza unapajua kariakoo lakini..kaa kimya tu..
Huu ugonjwa wa kusifiana na kupongezana kwa vitu vidogo na vya kawaida nauchukia sana maana unafanya tushindwe kufikiri na kufanya mambo makubwa, unatufanya kushindwa kuona jinsi tulivyo nyuma kimaendeleo.Billion 2 Kwa mwaka Kwa Kodi ya Serikali Hiyo ni pesa ndogo Sana tena haupaswi hata kupongeza
Inastaajabisha SanaHuu ugonjwa wa kusifiana na kupongezana kwa vitu vidogo na vya kawaida nauchukia sana maana unafanya tushindwe kufikiri na kufanya mambo makubwa, unatufanya kushindwa kuona jinsi tulivyo nyuma kimaendeleo.
Yani kama hadi leo bado tunapongezana kwa sifa tele kisa kuzindua mradi wa maji au kuongeza majengo hospitalini, unadhani tutakuwa na akili ya kufikiria mambo makubwa?
Yani Tanzania utafikiri ni nchi ambayo ndio kwanza
imepata uhuru hivi karibuni haizidi miaka 10 kwa jinsi fikra za watu zilivyo.
DuMayfair ni mali ya Mafuru?
Kwani kabla ya huu mradi walipata kiasi gani?Wabonge wamezoa kubisha kila kitu unadharauje 2.5bl kwa mwaka wakati hukuwa unapata chochote?
Mzalendo, au tapeli namba moja aliye pewa jukumu la kunadi mali za waTanzania kama kichaa!2.5bn kwa mwaka bado ni pesa dogo kwa Kariakoo mzalendo Kafulila anasemaje
Na miji mingine Kama Mwanza jengeni majengo ya maana acheni kupendelea sehemu moja tu DarKama unatumia standard za Nje unakosea, hilo jengo lipo Tanzania, watakaokodi ni Watanzania, kama sio Watanzania waliokodi watauzia Watanzania, kivyovyote Rent zita reflect soko la Kariakoo, ukiweka Rent za Dubai ama London watu wata rent majengo mengine badala ya hilo.
Rent za kariakoo on average ni milioni 2 kwa frame za nje kama ni kubwa sana inafika 3-5M, frame za ndani laki 7 hadi 1.2M, unahitaji maelfu ya frame kugenerate 2.5B kwa mwezi, hakuna jengo la frame 2000 hapo.
1. Sio mimi ninaejenga hayo majengoNa miji mingine Kama Mwanza jengeni majengo ya maana acheni kupendelea sehemu moja tu Dar
Kwahiyo mkuu uliona nimekwambia wewe?? kwahiyo ukiweka thread humu na watu wakachangia hiyo michango niya kwako??mean unakuwa media wewe?? acheni uzwazwa bhana!!1. Sio mimi ninaejenga hayo majengo
2. Huwezi lazimisha muekezaji ajenge unapotaka wewe, kila mtu ana tafuta Faida, sio kazi ya muwekezaji kujenga maghorofa ambayo hayatamlipa.
Kumbuka hiyi wanaigawana na muwekezaji..Yaani muwekezaji naavhukua 7.5billion na Serikali ni 2.5billion hapo hujakata Kodi ya mapato ya TRA hivyo hesa u zao ni sawKwa akili yako kiasi gani kinapaswa kulipwa? Hata mimi naona ni ndogo ukizingatia jengo litakuwa na wapangaji 900! Kwa K/koo unit ya biashara si chini ya Tshs 1,000,000 kwa mwezi! Hili jengo lingepaswa litengeneze Tshs 900,000,000 kwa mwezi na si chini ya Tasha 10 bln kwa mwaka
Ndo na Mimi nimewashangaa wachangiajiNaona watu wamekurupuka kuchangia uzi kwa mihemko bila kuelewa kilichoandikwa. Mmeambiwa mradi ni wa serikali na mbia. Wakati ujenzi ukiendelea serikali itakuwa ikijipatia 2b kwa mwaka na baada ya mradi kukamilika serikali itajipatia 2.5b kama kodi ya jengo (kumbuka m'bia naye ana mgao wake nje ya hizo 2.5b) na bado hapo serikali itakusanya kodi na shuru nyingine kutoka kwenye uwekezaji huo. Kwa namna wakurupukaji wanavyochangia ni kama walitaka serikali ikusanye kilakitu na mbia asipate chochote kitu ambacho hakiwezekani. Nilidhani tungempongeza kwanza Kafulila kabla ya kucomment kwa chuki na mihemko.