Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Hongera sana kumpata huyo, watu tumelia humu tukaambulia patupu!.
Weee mzee bado unapita pita humu ndaniHongera sana kumpata huyo, watu tumelia humu tukaambulia patupu!.
P
Humu bado nipo sana tuu.Weee mzee bado unapita pita humu ndani
Kwani mke wa shetani (FaizaFoxy) ni mtu kweli?CC
Pascal Mayalla
Mshana Jr
Na ndivyo nilivyompata wangu wa moyoni FaizaFoxy
View attachment 3304739
Hapo vitoto havijui deodorant wala perfumes. Unachonusa hapo ni natural odor. Yani kale ka harufu ka mwanamke asiekuwa na yutiyai
Viumbe wote ni viumbe wa Mwenye Enzi Mungu, hata huyu bibiKwani mke wa shetani (FaizaFoxy) ni mtu kweli?
Mzeee unapenda Kula chakula tofauti tofauti mzeeeHumu bado nipo sana tuu.
P
Ni kweli inaitwa variety,kula chakula kimoja hicho hicho kila siku,kinachosha, mfano sisi。Wasukuma chakula kikuu ni ugali,tunaweza kula kila siku,ila mboga ndio tunabadili, hivyo huchoki,wenzetu Tanga, Zanzibar na watu wa Pwani ni hodari kwa mapishi, wao wanabadili badili mapishi,hivyo mlaji huchoki, mfano wali, leo utapikiwa wali wa maji,kesho wali wa mafuta, keshokutwa wali wa nazi, mtondoMzeee unapenda Kula chakula tofauti tofauti mzeee