Picha: Hivi ndivyo tuliandika tukiwa school boys miaka ya 1970

Picha: Hivi ndivyo tuliandika tukiwa school boys miaka ya 1970

1746594135438.png
 
Sisi wa Kayumba sasa...!!!

Ama baada ya salamu, mimi sijambo, hofu kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Dhumuni la barua hii ni kutaka kujua hali yako, je! hujambo?

Wako mwenye upendo wa dhati

Ngali.
🤣👍
 
Back
Top Bottom