Picha: Hivi ndivyo tuliandika tukiwa school boys miaka ya 1970

Hapo vitoto havijui deodorant wala perfumes. Unachonusa hapo ni natural odor. Yani kale ka harufu ka mwanamke asiekuwa na yutiyai
Utaambiwa umekufuru
 
Mzeee unapenda Kula chakula tofauti tofauti mzeee
Ni kweli inaitwa variety,kula chakula kimoja hicho hicho kila siku,kinachosha, mfano sisi。Wasukuma chakula kikuu ni ugali,tunaweza kula kila siku,ila mboga ndio tunabadili, hivyo huchoki,wenzetu Tanga, Zanzibar na watu wa Pwani ni hodari kwa mapishi, wao wanabadili badili mapishi,hivyo mlaji huchoki, mfano wali, leo utapikiwa wali wa maji,kesho wali wa mafuta, keshokutwa wali wa nazi, mtondo
pilau,mtondo go,biriani,sembuse mseto, sembuse go bokoboko, ili mradi mlaji apate variety!。

Mimi kula ni hobby Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…