Picha: Hivi Tanzania tumefikia hapa kweli!?

Picha: Hivi Tanzania tumefikia hapa kweli!?

Watanzania kujifanya mnajua

Mambo ya msingi hamkosoi mnakosoa ujinga
Kubet ni kazi
Kubet ni starehe
Ukiona mtu mpaka anabet huyo ana hela
Hawatumii nywele hapo kubetia ni hela tu
Kwahiyo wanazo wanajua kuzitafuta

Na wanaobet ni makundi tofauti ya watu na siyo aina fulani tu ya watu

Kama mtu kazi yake ni kubet tu
It means anapata faida
Na nimlipa kodi mzuri huyo
Sasa tatizo lenu nini
 
Mafunzo yake siyo marahisi ukifuzu unakua na roho ngumu hata ukiwa unapewa taarifa za vifo unakua hushtuki tena maana umeshazoea kushtuka mikeka ikichanika
😀😀😀Aisee bas km ndio hivo
 
Picha Ina jieleza huu ni mzaha Kwa nchi,na hawa ni vijana wa shule na hapo ni center moja tuuView attachment 2538577
Inasikitisha ila hkn namna wapambne tu mnk kuzifungia nazo hz kampuni Ni ushamba mkubwa siyo watu wote wanabeti hata watu milion tAno hatufiki trust me

Mm sibetigi ila naona uchungu nikiona mtu kala pesa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania kujifanya mnajua

Mambo ya msingi hamkosoi mnakosoa ujinga
Kubet ni kazi
Kubet ni starehe
Ukiona mtu mpaka anabet huyo ana hela
Hawatumii nywele hapo kubetia ni hela tu
Kwahiyo wanazo wanajua kuzitafuta

Na wanaobet ni makundi tofauti ya watu na siyo aina fulani tu ya watu

Kama mtu kazi yake ni kubet tu
It means anapata faida
Na nimlipa kodi mzuri huyo
Sasa tatizo lenu nini
Basi inabidi bord ya mikopo ipite na uko watu wanao beti wakipiga pesa wakatwe za board za mikopo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Picha Ina jieleza huu ni mzaha Kwa nchi,na hawa ni vijana wa shule na hapo ni center moja tuuView attachment 2538577
Kama bodaboda wanaitwa "maofisa usafirishaji"Hawa watakuwa maofisa mikopo"serikali inaunafiki hatari,
Ajira za laana.
 
Attachments

  • Screenshot_20230305-234406.png
    Screenshot_20230305-234406.png
    217 KB · Views: 2
Back
Top Bottom