Picha: Hivi Tanzania tumefikia hapa kweli!?

Picha: Hivi Tanzania tumefikia hapa kweli!?

Mkuu acha watu wapambane, ndio maana hizo shule zinatambulika na serikali na hao wanafunzi unaowadharau wanachangia pato la taifa kupitia Kodi.

Mambele unakuta mtu kama Drake anabet na yuko proud. Ila kibongo bongo unaonekana kichaa, INASIKITISHA SANA
Mambelez...wakibet sawa. Huduma za msingi zipo mbele pia. Sio huku. Drake unamlinganisha na nani kwenye hiyo picha.....
 
Kwa vile hawavunji sheria na hamfatwi kuombwa pesa za bet sioni shida,ila shida ipo kwenu mnaofatilia wanaobet
 
Hapo ni new library wanafunzi wanapitia madesa ya sheria.
Wanatafuta tofauti kati ya
Team 1 to win and over 2.5
na
Team 1 to win or over 2.5

HII KAZI NGUMU NYIE!
 
Back
Top Bottom