white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Acha kulinganisha mbingu na ardhi huyo drake ana bet kwa ajiri ya kutafuta pesa ya kula?au kulipia kodi ya nyumba?yeye anafanya kama starehe tu.kwa nchi za kiafrika hilo limeshakuwa janga serikali zenyewe zinaangalia kodi tu!!kabla hata ya hayo matamko ya viongozi wa dini kupinga ushoga wangeanza kwanza na hili ambalo limeshaota mizizi na liko waziwazi kabisa!!Mkuu acha watu wapambane, ndio maana hizo shule zinatambulika na serikali na hao wanafunzi unaowadharau wanachangia pato la taifa kupitia Kodi.
Mambele unakuta mtu kama Drake anabet na yuko proud. Ila kibongo bongo unaonekana kichaa, INASIKITISHA SANA