white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Acha kulinganisha mbingu na ardhi huyo drake ana bet kwa ajiri ya kutafuta pesa ya kula?au kulipia kodi ya nyumba?yeye anafanya kama starehe tu.kwa nchi za kiafrika hilo limeshakuwa janga serikali zenyewe zinaangalia kodi tu!!kabla hata ya hayo matamko ya viongozi wa dini kupinga ushoga wangeanza kwanza na hili ambalo limeshaota mizizi na liko waziwazi kabisa!!Mkuu acha watu wapambane, ndio maana hizo shule zinatambulika na serikali na hao wanafunzi unaowadharau wanachangia pato la taifa kupitia Kodi.
Mambele unakuta mtu kama Drake anabet na yuko proud. Ila kibongo bongo unaonekana kichaa, INASIKITISHA SANA
Inasikitisha sana, vijana wanaishi kwa kubahatisha.Acha kulinganisha mbingu na ardhi huyo drake ana bet kwa ajiri ya kutafuta pesa ya kula?au kulipia kodi ya nyumba?yeye anafanya kama starehe tu.kwa nchi za kiafrika hilo limeshakuwa janga serikali zenyewe zinaangalia kodi tu!!kabla hata ya hayo matamko ya viongozi wa dini kupinga ushoga wangeanza kwanza na hili ambalo limeshaota mizizi na liko waziwazi kabisa!!
🤣🤣🤣🤣wakamaliaPicha Ina jieleza huu ni mzaha Kwa nchi,na hawa ni vijana wa shule na hapo ni center moja tuuView attachment 2538577
Nishasoma comments nimeelewa sasa 😒Probability
Kwani wanafanya nini hapo ?Picha Ina jieleza huu ni mzaha Kwa nchi,na hawa ni vijana wa shule na hapo ni center moja tuuView attachment 2538577
Drake alikuja akakwambia anabetia starehe? Una uhakika kila mbetiji bongo anabetia njaa. Kausha mkuu sipo hapa kubishana, tufanye umeshinda.Acha kulinganisha mbingu na ardhi huyo drake ana bet kwa ajiri ya kutafuta pesa ya kula?au kulipia kodi ya nyumba?yeye anafanya kama starehe tu.kwa nchi za kiafrika hilo limeshakuwa janga serikali zenyewe zinaangalia kodi tu!!kabla hata ya hayo matamko ya viongozi wa dini kupinga ushoga wangeanza kwanza na hili ambalo limeshaota mizizi na liko waziwazi kabisa!!
Inshu sio kuja na kuniambia ila ni kitu kipo wazi matajiri wengi hiyo betting ni kama ULAIBU (addiction) tu,starehe tu lakini kwa hapa kwetu 99.9 % ni kutafuta pesa za kutatua matatizo yao.Drake alikuja akakwambia anabetia starehe? Una uhakika kila mbetiji bongo anabetia njaa. Kausha mkuu sipo hapa kubishana, tufanye umeshinda.
Kibongobongo ni siri kali mtu anakuchenjia mbele za watu ukileta hizo habari.Mkuu acha watu wapambane, ndio maana hizo shule zinatambulika na serikali na hao wanafunzi unaowadharau wanachangia pato la taifa kupitia Kodi.
Mambele unakuta mtu kama Drake anabet na yuko proud. Ila kibongo bongo unaonekana kichaa, INASIKITISHA SANA
Hii kweli kabisa roho inabadilika sana hahahaha dah hujakosea.Mafunzo yake siyo marahisi ukifuzu unakua na roho ngumu hata ukiwa unapewa taarifa za vifo unakua hushtuki tena maana umeshazoea kushtuka mikeka ikichanika
Hapa ni ishu ya elimu kupitia mkaa unaweza yachuja haya majitope kuwa maji safi salama ya kunywa
Hii sio TANZANIAPicha Ina jieleza huu ni mzaha Kwa nchi,na hawa ni vijana wa shule na hapo ni center moja tuuView attachment 2538577