Picha: Hivi Tanzania tumefikia hapa kweli!?

Nimecheka sana..
Khaaaa ndo nini hiko
 
Mambelez...wakibet sawa. Huduma za msingi zipo mbele pia. Sio huku. Drake unamlinganisha na nani kwenye hiyo picha.....
 
Kwa vile hawavunji sheria na hamfatwi kuombwa pesa za bet sioni shida,ila shida ipo kwenu mnaofatilia wanaobet
 
Hapo ni new library wanafunzi wanapitia madesa ya sheria.
Wanatafuta tofauti kati ya
Team 1 to win and over 2.5
na
Team 1 to win or over 2.5

HII KAZI NGUMU NYIE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…