Picha: Hivi vikaptula vya wanaume wa Dar vipigwe marufuku

Picha: Hivi vikaptula vya wanaume wa Dar vipigwe marufuku

Kabana traaako, si ndio habari ya mujini!
 
Ivi vinjuga alianza kuvivaa sana Alikiba sema vilikua havibani na Uzuri wa kinjuga uvae kisibane na uwe na mguu wa kiume kigimbi kiwe kimekomaa kama nondo za mabatini mguu uwe umechafuka kwa makovu yaani kama jambaz..ila sasa Ao wanaovaa vyakubana na miguu aina ata unyayo wanakosea sana bladifaken kabisa
 
Screenshot_20210820_020016.jpg
 
Jana pub flani pale tabata niliona mwanaume kakata jeans ya kike zile jeans zenye maua rose usawa wa pajani, ye kaikata chini ya ua, kavaa.
 
Oneni huyu kaka[emoji1313]Hivi mwanaume unavaaje vikaptula vya aina hii?Hii ni aibu kwa taifa wanaume wa dar hapa mlipofika sasa mnataka kufanana na sisi dada zenu au[emoji1313]ndo uvaaji gani huu jameni?

View attachment 1893104View attachment 1893105View attachment 1893106
Hawa wangese sana aisee , kuna mmoja niliwahi muona mitaa ya Tabata baracuda aisee , kwa mbali nikadhani dem , kunikaribia hivi kumbe ni dume aisee,
Moyoni nikajisemea ningekua namjua ningemchana makavu live
 
Back
Top Bottom