Picha: Hivi vikaptula vya wanaume wa Dar vipigwe marufuku

Kabana traaako, si ndio habari ya mujini!
 
Ivi vinjuga alianza kuvivaa sana Alikiba sema vilikua havibani na Uzuri wa kinjuga uvae kisibane na uwe na mguu wa kiume kigimbi kiwe kimekomaa kama nondo za mabatini mguu uwe umechafuka kwa makovu yaani kama jambaz..ila sasa Ao wanaovaa vyakubana na miguu aina ata unyayo wanakosea sana bladifaken kabisa
 
Jana pub flani pale tabata niliona mwanaume kakata jeans ya kike zile jeans zenye maua rose usawa wa pajani, ye kaikata chini ya ua, kavaa.
 
Hawa wangese sana aisee , kuna mmoja niliwahi muona mitaa ya Tabata baracuda aisee , kwa mbali nikadhani dem , kunikaribia hivi kumbe ni dume aisee,
Moyoni nikajisemea ningekua namjua ningemchana makavu live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…