Picha hizi ni funzo kwetu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288

Picha hii.
Kama unaona uislam wako ni daraja l1 badala ya siasa au biashara au cheo chako huu ujumbe muruwa.

Kama watoto wako uliwaekeza ktk international school pekee na sio madrasa imekula kwako maana ya kumaliza kisomo ndio basi hakuna atakaekuombea dua
 
Hazijawahi kuwa funzo.
 
Hivi baada ya kuswaliwa na Masheikh Wakuu ama Maaskofu Wakuu kama ilivyotokea Kwa JPM ama Lowasa ndiyo inakuwa umefutiwa dhambi na Mola wako?

Muhimu kumcha Mola na kuacha kutenda dhambi ukiwa bado hujalala mauti.

Kifo kipo kwaajili ya kutukumbusha hilo
 
PhD ya elimu akhera itasaidia nini kama utaenda motoni?
 
Uislam ndio njia sahihi kufikia huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…