Picha hizi ni funzo kwetu

Picha hizi ni funzo kwetu

Hayo yanawahusu shallow mind wanaodhani kufa ni suala geni wakati ni moja ya hatua ya kiumbe hai.
 
Quran ni Copy paste ya Vitabu vya Kiyahudi halafu Waarabu wakaongezea mambo ya Kizoroastra.
Mmm. Quran mkusanyiko wa Taurat , injil na Zaburu. Kwa hivyo mitume yote walikua ni waislam
 
Kama unaamini dini sababu ya vitisho vya kifo basi bado sana
 
Mmm. Quran mkusanyiko wa Taurat , injil na Zaburu. Kwa hivyo mitume yote walikua ni waislam
Mitume uliowataja hawakuwa Waisilamu walikuwa ni Wafuasi wa Dini ya Kiyahudi na lengo la Waarabu lilikuwa ni kuwazulumu Wayahudi Dini yao.
 
mashekhe wapo wa kusoma

kila alhamisi tafuta shekhe wako mmoja anakuja soma na kutia ubani

nani alikwambia dua lazima uombe mwenyewe

mimi si wa dini iyo ila kila alhamisi nashiriki dua
 
Alianza mwalimu akafuata mwanafunzi.
 
"Na lau kama tungaliifanya Qur-an lugha isiyo ya Kiarabu wangelisema: Kwa nini aya zake hazikupambanuliwa? Lo! Lugha isiyokuwa ya Kiarabu na (Mtume) Mwarabu! (Mambo gani hayo)? " (41:44).


"Na lau tungaliiteremsha juu ya mmoja wa wasiokuwa Waarabu, na akawasomea (kwa ufasaha) wasingalikuwa wenye kuamini." (26:198-199)
Mungu kaniumba mimi mkara,Je alikosea?Kwa nini atumie kiarabu peke yake?Nikimuomba kwa kijaluo sala zangu anapokea?
Kwa nini tisingeumbwa wote waarabu?Je Mungu alikosea?
Amka!
 
Mmm. Quran mkusanyiko wa Taurat , injil na Zaburu. Kwa hivyo mitume yote walikua ni waislam
Endelea kujifariji kwa kudanganywa na akina Sulle.Mkusanyiko.wa vitabu ulivyovitaja unaitwa Biblos au biblia.Usijifue nguo kiasi Hicho.Labda kama ungesema quran ni summary ya vitabu hivyo!
 
Kwa uislam mtu hata akiwa mwema vipi,maadam hakuwa muislam basi matendo yake yameanguka patupu,ni sawa na lowasa alivyokua rais wa mioyo ya watu wakati magufuli ndiye alikua rais haswa
Hahaha.............
 
Kifo ni hitimisho la uhai ni mwanzo wa ukamilifu wa roho...
 
Dogo badala ya kutafuta ugali unatisha wazee kifo hakuna anaeogopa kifo FANYA KAZI..
View attachment 2922990
Picha hii.
Kama unaona uislam wako ni daraja l1 badala ya siasa au biashara au cheo chako huu ujumbe muruwa.
View attachment 2922995
Kama watoto wako uliwaekeza ktk international school pekee na sio madrasa imekula kwako maana ya kumaliza kisomo ndio basi hakuna atakaekuombea dua
 
Mleta mada nimemuelewa ni kwamba yupo kwenye lile kundi linaloamini kuwa mtoto/watoto wakisoma shule za kizungu eg udaktar, uhandisi, ualimu n.k na kwamba hawajasoma kiarabu basi mzazi ukifa hutosomewa Dua ya kuombea marehem Ili kupunguziwa adhabu za Qabr na Mnyaazi Mungu. Kwa kifupi anahamasisha watu kusoma MADRASA kuliko elimu zinazosababisha watu kuwa wataalam.
Kuhusu hili wazanzibar waliweza kubalance kwamba unasoma elimu Dunia na elimu akhera lakini sisi wa huku bara tulijichanganya tukakomaa na kimoja tu mwisho wa siku umasikini ukatukumba kuanzia Tanga Hadi Mtwara kunathibitisha.
 
Back
Top Bottom