Picha hizi ni funzo kwetu

Siku hizi ukiwa na kipato hao Viongozi wa Dini watakuja kama wote kukusomea Dua.

Ndiyo maana nashauri vyema Kila mtu kuacha dhambi na kufuata Amri 10 za Mungu ambapo ni pamoja na kumpenda jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.

Kupitia Amri hii, nina amini tusingekuwa tunapata Viongozi mafisadi na Wala rushwa kwani Kwa kufanya hayo Kuna Mwananchi angekosa huduma Bora za Afya, Maji, Umeme n.k

Tusingekuwa tuna matukio ya mauaji miongoni mwetu n.k

Tuacheni dhambi na kumrudia Mola
 
Madrasa ni sehemu ya kwenda kuwakaririsha Watu na kuwafunza kuwa kumuabudu Mungu ni lazima uongee Kiarabu.

Mungu atuumbe sisi Waafrika halafu tumuabudu Kiarabu Mungu sio Racist.

Au Mungu ni Mwarabu?
Hebu soma tena nilichoandika,naona una hamu ya kuandika kilichokujaa moyoni badala ya hoja iliyopo mezani
 
Ninachojua kuzikwa na kufukiwa kitu ni kile kile.. Masuala ya dua na misa za wafu ni nadharia tu.
Kweli kabisa! Ukifa ata kama Dunia nzima itakusalia- kama wewe mfu uliishi maisha maovu . Sala zao azitakuepusha na Moto
 
Hii ni op,na dini siyo amri kumi tu za kwenye biblia
 
Akili za kitumwa daraja la kwanza. Umewahi kujiuliza kabla ya hao wavaa kobazi au wale wa bwana asifiwe kuja kutubrainwash tulikuwa tukiendesha vp shughuli kama hizi
 
Sawa ila ni vyema kuacha dhambi ili tuweze kuiona Pepo
Kwa uislam mtu hata akiwa mwema vipi,maadam hakuwa muislam basi matendo yake yameanguka patupu,ni sawa na lowasa alivyokua rais wa mioyo ya watu wakati magufuli ndiye alikua rais haswa
 
Mkuu, lakini bado hujajibu swali langu?

Kwamba baada ya hapo ndiyo unakuwa huna dhambi?
Mambo 3 ambayo muislam akifa yamtasaidia
1. Kutoa sadaka lariat
2. Mtoto mwema atakaemuombea dua mzazi wake
3. Kutoa elimu kwa waislam wenzio
 
Madrasa ni sehemu ya kwenda kuwakaririsha Watu na kuwafunza kuwa kumuabudu Mungu ni lazima uongee Kiarabu.

Mungu atuumbe sisi Waafrika halafu tumuabudu Kiarabu Mungu sio Racist.

Au Mungu ni Mwarabu?
Wewe mzungu mbona shule unasoma kwa kizungu? Au kwa sababu mabwana zako ndio unaona sawa?
 
Wewe mzungu mbona shule unasoma kwa kizungu? Au kwa sababu mabwana zako ndio unaona sawa?
Nasoma mambo ya Sayansi Kizungu na Madrasa zinasomesha mambo ya Mungu Kiarabu je Mungu ni Mwarabu?

Mungu aliyeniumba mimi MWAFRIKA Mungu huyo anasema nimsome KIARABU wewe huoni TATIZO?
 
Nasoma mambo ya Sayansi Kizungu na Madrasa zinasomesha mambo ya Mungu Kiarabu je Mungu ni Mwarabu?

Mungu aliyeniumba mimi MWAFRIKA Mungu huyo anasema nimsome KIARABU wewe huoni TATIZO?
Sayansi za mzungu? Wewe kweli bogas.
 
Nasoma mambo ya Sayansi Kizungu na Madrasa zinasomesha mambo ya Mungu Kiarabu je Mungu ni Mwarabu?

Mungu aliyeniumba mimi MWAFRIKA Mungu huyo anasema nimsome KIARABU wewe huoni TATIZO?
"Na lau kama tungaliifanya Qur-an lugha isiyo ya Kiarabu wangelisema: Kwa nini aya zake hazikupambanuliwa? Lo! Lugha isiyokuwa ya Kiarabu na (Mtume) Mwarabu! (Mambo gani hayo)? " (41:44).

"Na lau tungaliiteremsha juu ya mmoja wa wasiokuwa Waarabu, na akawasomea (kwa ufasaha) wasingalikuwa wenye kuamini." (26:198-199)
 
Quran ni Copy paste ya Vitabu vya Kiyahudi halafu Waarabu wakaongezea mambo ya Kizoroastra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…