Picha hizi ni funzo kwetu

Daah ila watu yaani mnatumia msiba kama fimbo za kuwatishia wengine. Kufa kupo tu karne na karne hakuna funzo hapo mkuu
Kufa kupo karne na karne na kifo ni mawaidha tosha kuamini kuna mungu nasi sote kwake tutalejea ila kwenye misiba ndo sehemu inayokutanisha watu wengi kwa pamoja ukitaka uhamini omba ruhusa kazini ya msiba na harusu uone ipi itapewa kipaumbele muhimu kukumbusha kumcha Allah
 
Kwenye gazeti lako Mungu umeandika kwa herufi ndogo ila Allah umeanza na herufi kubwa. Je kati ya Mungu na Allah yupi unaamini ana nguvu?
 
PhD ya elimu akhera itasaidia nini kama utaenda motoni?

Miaka 1,000 iliyopita mfalme Vladimir mpagani alihoji dini hizi za mashariki ya kati kuwa unakwenda motoni ukiwa mtu mwenye dhambi lakini utaishi raha mustarehe milele ukiwa mwema.

Mfalme Vladimir akatuma watu wake 10 wenye busara na hekima kwenda kuona maisha halisi ya watu wa dini hizo wanavyoishi ili apate kusadiki baada ya kifo yeye na raia wake je watakwenda motoni jehanamu au ahera paradiso.....



Sisi wamatumbi waafrika waswahili yatupasa kuwaza kwa hekima kama mfalme Vladimir juu ya kukumbatia imani ngeni za kuja kutoka mbali.
 
Nishasema
Wote mtakufa na kurudi mavumbini!! Hakuna nafuu katika kifo uwe masikini au tajiri, wote ni kufa tu!!

Keshazikwa tusubiri tena wengine wafe wazikwe!! Mpaka ifikapo 2035 JF itakuwa members wapya kwa aslimia 98; wengi wao ama watakuwa wamekufa, wagonjwa au wasio na uwezo wa kuandika. Na wewe mfuasi wa Muhammad jiandae pia
 
Daah ila watu yaani mnatumia msiba kama fimbo za kuwatishia wengine. Kufa kupo tu karne na karne hakuna funzo hapo mkuu
Huu wa kutishia watu ni utamaduni wa Tanzania na nadhani ni rahisi kuwatisha watu kwa sababu ya elimu ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…