Picha: Hospitali mpya ya chuo cha Kenyatta - mambo faya


Bongolala kutoka LDC ambayo haiwezi ongea kiingereza, unajifanya unajua maandishi ya kiingereza.

Maajabu ya Musa.

Nothing wrong with those signage.
 
MAGUFULI angeweza kuwa na mradi kama huu hakiyanani siku ya ufunguzi ANGEHUTUBIA wiki nzima, the way anapenda publicity and media.
 
Sisi Muhimbili kitengo cha moyo cha Jakaya Mrisho Kikwete, kwa miaka mitatu tuu, tumeshafanya upasuaji wa moyo wa watu 3000. Idadi hiyo ni sawa na hospitali zote za Kenya.
For more stupid jokes like this, dial *0055*2#
 
Kizungu kinakuchanganya nini?

Jina kamili ni "Kenyatta University Teaching, Referral and Research Hospital " (KUTRRH)

Alafu hapo pa "Accident and Emergency" hio si department, hio ni wing ya ku treat 'accidents' and 'emergencies' .... Yani hapo unapoona pameandikwa hivyo ndo ambulance itasimama ikikuleta hospitali ukipata ajali..... daktari mkubwa anaesimamia hio "accidents and Emergency wing ndo atakua ako chini ya "Emergency Medicine Department"
 
Ni Kama wakenya wote wanaishi Nairobi, mbona county zingine Serikali imepeleka nini cha maana, zaidi ya njaa. China ikija kuchukua chao wataigeuza hii nyumba kua apartment
this is crazy!! mbona mnakimbia asali na maziwa tanzania kuwa omba omba Kenya!!!
MAKUENI, KENYA: Omba omba sita kutoka Tanzania wakamatwa


Kurzweil

JF-Expert Member

Joined May 25, 2011
6,354 2,000



Baadhi yao walikuwa kwenye baiskeli maalum za walemavu lakini walipokamatwa na Askari wa Polisi walilisamama na kujaribu kuwatoroka Polisi

Kati yao Mwanaume ni mmoja na Wanawake 5 waliokuwa wamebeba Watoto mgongoni. Kamanda wa Polisi wa Makueni, Joseph Ole Napeiyan amesema watakaa rumande kupisha uchunguzi

Siku chache zilizopita Uongozi wa Serikali katika eneo la Migori uliitaka Serikali Kuu ya Kenya kuwaondoa omba omba kutoka Tanzania kwani wamekuwa kero
 
Tambo za kiboya Sana hizi, ngoja Al Shabab waingie kwenye hiyo hospital ndio mjute kuzaliwa Kenya
Tanzania: Extremism & Counter-Extremism

mtakua mpo salama pia nyie au sio!!
alshabaab watanzania wapo jela hapa kenya wengi tu!! endeleeni midomo mirefu siku yaja!!
In November 2017, Kenyan authorities arrested two Tanzanians on suspicion of traveling to Somalia to join al-Shabab. The arrests came five months after al-Shabab released a video announcing the graduation of a group of its soldiers, some of whom were Tanzanian nationals. (Sources: Standard Digital, African News)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…