Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Afrika kwenye sekta ya moyo ni Afrika kusini tuu ndiyo wanaotushinda.
Take it or leave it.P
Pro-pa-ganda
PropagandistTake it or leave it.
Ni Kama wakenya wote wanaishi Nairobi, mbona county zingine Serikali imepeleka nini cha maana, zaidi ya njaa. China ikija kuchukua chao wataigeuza hii nyumba kua apartment
Kenyatta University teaching Hospital ,yani hata kupanga jina hivyo tu wameshindwa
Emergency Medicine Department or Accidents and Emergency department , nani alikua anaandikia hayo majengo asee.
Kama mlikua hamjui jinsi ya kuandika si mngekuja Muhimbili kuuliza
MAGUFULI angeweza kuwa na mradi kama huu hakiyanani siku ya ufunguzi ANGEHUTUBIA wiki nzima, the way anapenda publicity and media.![]()
The Kenyatta University Hospital was officially opened on Monday.
The teaching, referral and research facility has a 650-bed capacity and sits on 100-acres.
It will provide emergency, cardiology, laboratory, gynecology services and oncology services.
Other services include pediatric, surgical and funeral home services.
![]()
![]()
Also
![]()
![]()
![]()
PHOTOS: Inside the new Kenyatta University Hospital
citizentv.co.ke
Mjuaji bongolala.
Kenyatta University haiko kaunti ya Nairobi.
For more stupid jokes like this, dial *0055*2#Sisi Muhimbili kitengo cha moyo cha Jakaya Mrisho Kikwete, kwa miaka mitatu tuu, tumeshafanya upasuaji wa moyo wa watu 3000. Idadi hiyo ni sawa na hospitali zote za Kenya.
Kizungu kinakuchanganya nini?Kenyatta University teaching Hospital ,yani hata kupanga jina hivyo tu wameshindwa
Emergency Medicine Department or Accidents and Emergency department , nani alikua anaandikia hayo majengo asee.
Kama mlikua hamjui jinsi ya kuandika si mngekuja Muhimbili kuuliza
Mzee,acha kutumia sura yako mbaya Kama akilimloganzila ni kubwa mara 100 ya hiyo zahanati
this is crazy!! mbona mnakimbia asali na maziwa tanzania kuwa omba omba Kenya!!!Ni Kama wakenya wote wanaishi Nairobi, mbona county zingine Serikali imepeleka nini cha maana, zaidi ya njaa. China ikija kuchukua chao wataigeuza hii nyumba kua apartment
Tanzania: Extremism & Counter-ExtremismTambo za kiboya Sana hizi, ngoja Al Shabab waingie kwenye hiyo hospital ndio mjute kuzaliwa Kenya
Wewe ni ng'ombe bila mkiaHii zahanati au nn??