King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kwa mujibu wa wizara ya afya ni kwamba hospitali ya Rufaa ya Chato itahudumia takribani watu milioni 18...
Kwahiyo Bugando inafungwa?Kwa mujibu wa wizara ya afya ni kwamba hospitali ya Rufaa ya Chato itahudumia takribani watu milioni 18.
Kwamba wagonjwa 700 watahudumiwa kila siku....
Kama hamtaenda CHATO tuKwahiyo Bugando inafungwa?
Asitokee mwingine akaiga haya. Huo ndio utakuwa mwanzo wa mfarakano wa nchi yetu. Hiyo itakuwa Tanzania "Mpya", kama walivyoipachika jina sasa.Kwa nini marais waliopita hawakufanya mambo makubwa kama anayofanya Jpm?
Kupatwa kwa mweziKama hamtaenda CHATO tu
Tupo kwenye raitiii tiraaakiiiiRais wa awamu ya sita atakuwa na kazi kubwa sana...
Hio itakusubiri wewe ukija kuwa Rais uwakumbuke wamakonde wenzako but for now lesi toku abauti chattleHivi kusini wana Hospitali kubwa ama ya Rufaa yoyote yaani Ruvuma, Lindi, Mtwara pamoja na maeneo ya nyanda za kusini. Maana sijawahi kusikia na kama haipo si ingekuwa vyema nao wakapatiwa
Huduma gani Ndanda Hospital huwezi kupata?Zote hizo si hospitali za Rufaa ni za kawaida tu huduma nyingi hazipatikani.
Si mchezo, kubaabekiPicha za Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo imewekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita leo tarehe 11 Januari 2021.
View attachment 1674987
View attachment 1674824
View attachment 1674825View attachment 1674826
View attachment 1674834
Hio itakusubiri wewe ukija kuwa Rais uwakumbuke wamakonde wenzako but for now lesi toku abauti chattle
Umeambiwa itahudumia takribani watu milioni 18!Mmmmhhhh hata KIMEI wakati anazindua CRDB chattle alisema MAGUFULI ndio alifanya UTAFITI na akasema mambo haya haya!! Hizo ni justification ,hivi wagonjwa mil 18 kwa mwaka unawajua kweli? Wagonjwa 700 kwa siku x 365 unapata mil 18? CCM mnapenda NAMBA lakini hamjui HESABU.
Bado Chato University College Of Healthy And Allied Science (CUCHAS)
Njoo mama utimize ndoto yangu ya kumiliki pisi kali...nipo chato kitamboNahamia Chato !!!
🤣🤣owke mkuu wangu Jon Stephano....nimekupata kaka...hakika mazoea yana tabu mkuu wangu!!Mkuu unajua umekosea kubadilisha avatar picha yako jamaa kama anachungulia kwa juu. Nilitaka kukupita hivihivi na nilikuwa najiuliza jumbe brown kapotea wapi? Kumbe umebadilisha avatar picha yako. Ujue madini unayotema yananoga yakiendana na avatar picha yako tuliyokuzoea
Kwani ilipofunguliwa Mloganzila Hospitali ya Muhimbili ilifungwa?!Kwahiyo Bugando inafungwa?
Usilinganishe ardhi na mbinguKwani ilipofunguliwa Mloganzila Hospitali ya Muhimbili ilifungwa?!