Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

Kwa mujibu wa wizara ya afya ni kwamba hospitali ya Rufaa ya Chato itahudumia takribani watu milioni 18...

Mmmmhhhh hata KIMEI wakati anazindua CRDB chattle alisema MAGUFULI ndio alifanya UTAFITI na akasema mambo haya haya!! Hizo ni justification ,hivi wagonjwa mil 18 kwa mwaka unawajua kweli? Wagonjwa 700 kwa siku x 365 unapata mil 18? CCM mnapenda NAMBA lakini hamjui HESABU.
 
Rais wa awamu ya sita atakuwa Naa kazi kubwa sana.........
 
Hivi kusini wana Hospitali kubwa ama ya Rufaa yoyote yaani Ruvuma, Lindi, Mtwara pamoja na maeneo ya nyanda za kusini. Maana sijawahi kusikia na kama haipo si ingekuwa vyema nao wakapatiwa
Hio itakusubiri wewe ukija kuwa Rais uwakumbuke wamakonde wenzako but for now lesi toku abauti chattle
 
Mmmmhhhh hata KIMEI wakati anazindua CRDB chattle alisema MAGUFULI ndio alifanya UTAFITI na akasema mambo haya haya!! Hizo ni justification ,hivi wagonjwa mil 18 kwa mwaka unawajua kweli? Wagonjwa 700 kwa siku x 365 unapata mil 18? CCM mnapenda NAMBA lakini hamjui HESABU.
Umeambiwa itahudumia takribani watu milioni 18!

Kuna tofauti kati ya watu na wagonjwa bwashee!
 
Mkuu unajua umekosea kubadilisha avatar picha yako jamaa kama anachungulia kwa juu. Nilitaka kukupita hivihivi na nilikuwa najiuliza jumbe brown kapotea wapi? Kumbe umebadilisha avatar picha yako. Ujue madini unayotema yananoga yakiendana na avatar picha yako tuliyokuzoea
🤣🤣owke mkuu wangu Jon Stephano....nimekupata kaka...hakika mazoea yana tabu mkuu wangu!!

Yap peace Kaka!!
 
Back
Top Bottom