Ntakuja unifundishe hiyo style nasikia tamu kiamaaaaa ni kuhama tu voda to tigo aiseee
Yaan michambo yake ni ya taratibu inachomajee,kumbe mi bado kinda bana ngoja niwaachie wakubwa, mim mtoto bado unajua nimeyawah majukumu mapema tu
....mie niko nyuma yenu....kama kusutwa tusutwe wote
hahahaaaaaaaaaa!
madameeeeeeerrrrr!!!
Ahahahaha pite kule Samora fasta, nina ubuyu wa haja
huna lolote kinda la ndege
sie wote swit19
Naona watafuta kutembea na Diapers
Nakuja, naenda kumpa haki yake bwana angu....
Kwi kwi kwi kwi kwi!!!, nyie watu ni shidaaa apa town
Wee mi we sikufikiii we mkubwaa
Machambo yenu binamu mnaweza kuwafanya wenzenu wafe.
mkubwa nanyolea panga???!!!
aka bibi weeeee!!!
Machambo yenu binamu mnaweza kuwafanya wenzenu wafe.
Nna cheti lako weyeee
cha OLEVEL,A LEVEL au cha ndoa?
hawafi.cha moto wanakiona
Hhhhhhhaaaaaaa cha ndoa bibieee