Hhhhaaaaa leo umeamkia pazuri aiseee hhhhhaaaaa
Dinazarde muangalie sana Mrembo by Nature, maana anakuja vizur kweli ,yani hili ni jembe nalikubali vibaya mamaye, yani binamu famba yeyote akikuzingua niite tufe na ban wote kama nilivyojitolea kwa Dinazarde, uzur wangu mimi nikikupenda bhaas hata ban ntapata kwa ajili yako, nakukubali sana kamanda yangu.
Ni kweli tatizo umri apa jamani, yule mtu mzima unajua? Mtoto hana wala mchumba kashafel
Khaa!! Umenishtua unajua??, yani nafungua PM, msg kama kumi nazikuta, ahahaha wewe ni nyoko aisehh, hakyanani umeshindikana binamu
Yani leo itabidi nichinje kuku, maana nilikuwa nasubiria mpaka sikuukuu naona nitadhulumu nafsi... Hii siku imeanza vizuri.
Watuache miaka mia, tumeshashindikana afrika mashariki na kati, mamayeeee, hahahahahh ahahah hapana chezeyaaa
Hhhhhaaaaaaaaa ni sheeedaaaaa binamu yangu, ni nyookoooooooi
Napita tu...naenda kusalimia wakwe
mamakibunju, Dinazarde, Heaven on Earth, miss chaga, Mrembo by Nature, ebu piteni uku kuna good night yenu
Hhhhaaaaa leo umeamkia pazuri aiseee hhhhhaaaaa
Unamtaka ninii????
Mhh mpaka na wewe una wakwe? kweli mjini form six
Ahahah ahahahh matumbo acha bhana, inatosha kwa kweli, hapana
Bibie muziki ndo basi tena?? Mmh nilisikia kaokoka
Ha ha haya bibie ,avatar nzuri kumbe sura kama .............
Wewe, warumi na Mrembo by Nature.....sichezi na nyie.
ndio nini hamjanishtua kwa uzi ule.....nimekuja mwishoni umeshapigwa mstari Mwekundu....nini mbaya.
Sichezi na nyie.....sichezi na nyie