Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Dinazarde muangalie sana Mrembo by Nature, maana anakuja vizur kweli ,yani hili ni jembe nalikubali vibaya mamaye, yani binamu famba yeyote akikuzingua niite tufe na ban wote kama nilivyojitolea kwa Dinazarde, uzur wangu mimi nikikupenda bhaas hata ban ntapata kwa ajili yako, nakukubali sana kamanda yangu.

Ni kweli tatizo umri apa jamani, yule mtu mzima unajua? Mtoto hana wala mchumba kashafel

Hhhhhaaaaaaaaa ni sheeedaaaaa binamu yangu, ni nyookoooooooi
 
Last edited by a moderator:
Tulipanga mi Na warumi tukutane Kariakoo kuna sehemu tunaenda kuna msiba

Watuache miaka mia, tumeshashindikana afrika mashariki na kati, mamayeeee, hahahahahh ahahah hapana chezeyaaa
 
Last edited by a moderator:
Khaa!! Umenishtua unajua??, yani nafungua PM, msg kama kumi nazikuta, ahahaha wewe ni nyoko aisehh, hakyanani umeshindikana binamu

Nimeona simu yako haipatikani voda nao waduanzii kinyamaa,basi tukutane kule pa jana etiii
 
Hhhhhaaaaaaaaa ni sheeedaaaaa binamu yangu, ni nyookoooooooi

Kuna mtu kaja PM anaomba kujiunga na kundi la langu, anasema amenipenda bure, nikamuuliza kundi lipi? Naona ajajibu, sis ni zaidi ya alqaeda , ukituzingua lazima ufanyiew three some maninaaa
 
Nimeona simu yako haipatikani voda nao waduanzii kinyamaa,basi tukutane kule pa jana etiii

Ile laini ya voda ni special kwa ajili ya udaku, naona chaji iliisha, mana kutwa napokea msg kwa watu za maumbeya ya mujini, halafu ni ubuyu wa haja
 
Ha ha haya bibie ,avatar nzuri kumbe sura kama .............

Hhhhhhaaaaaa afadhalii mieee aisee we ni kituko utatuharibia ukoo halaf nakutafutia ban mkuu yaan hata hunitukanii unaniudhii ujueee
 
Wewe, warumi na Mrembo by Nature.....sichezi na nyie.
ndio nini hamjanishtua kwa uzi ule.....nimekuja mwishoni umeshapigwa mstari Mwekundu....nini mbaya.
Sichezi na nyie.....sichezi na nyie

Kamanda jana sijui ulikuwa unapiga umbea wapi, Dinazarde aliku tag ukawa kimya, tatizo na wewe unazurula mno
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom