Wewe, warumi na Mrembo by Nature.....sichezi na nyie.
ndio nini hamjanishtua kwa uzi ule.....nimekuja mwishoni umeshapigwa mstari Mwekundu....nini mbaya.
Sichezi na nyie.....sichezi na nyie
kuna nini hapa....hebu samaraizi basi mjomba si unajua nilikuwa namshuhulikia kibaka bado mikono ina damu.
We unanionaje...tuanzie hapo kwanza
Ile laini ya voda ni special kwa ajili ya udaku, naona chaji iliisha, mana kutwa napokea msg kwa watu za maumbeya ya mujini, halafu ni ubuyu wa haja
Kuna mtu kaja PM anaomba kujiunga na kundi la langu, anasema amenipenda bure, nikamuuliza kundi lipi? Naona ajajibu, sis ni zaidi ya alqaeda , ukituzingua lazima ufanyiew three some maninaaa
Mie nakuona mtoto wa mjini saaaana. Ni ivyo tu.
Mmmh:banghead::beer:
Dinazarde muangalie sana Mrembo by Nature, maana anakuja vizur kweli ,yani hili ni jembe nalikubali vibaya mamaye, yani binamu famba yeyote akikuzingua niite tufe na ban wote kama nilivyojitolea kwa Dinazarde, uzur wangu mimi nikikupenda bhaas hata ban ntapata kwa ajili yako, nakukubali sana kamanda yangu.
Ni kweli tatizo umri apa jamani, yule mtu mzima unajua? Mtoto hana wala mchumba kashafel
Yaan nimekusubiri kule mtaa wa pili huji ntakukoaa binamu
Mie nakuona mtoto wa mjini saaaana. Ni ivyo tu.
Nilikuita mwanzo kabisa uje uone vituko vya Lucy hukuja nikajua utakua na buzi, mimi sichezii na nyie aisee nimeogopa kiama ile michambo unaweza meza wembe ujue