Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C


hahahaha kitu kinafukua hadi miamba ... Hii ni team niheshimu nikuheshimu. Ukileta shobo zinakurudia mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Bora ukufika maana jana kulikuwa na mafuriko humu, ilikuwa shidaa, lucy komba alikuwa habar ya mujini jana

Yaani ndio nimeuona asubuhi hii.
Yaani mie nikikosa umbea.....naumwajeeeeeeeee!!!!!!!!!!
 
Binamu unajua nini....mie nakaa mtaa wa wambea sana, sasa naweza kulala kabisa hukohuko....maana raha ya umbea mpaka ufike 'The End', ila jana nilipitiliza

Hhhhaaaaaaa weeee ni noomaa usitake binamu awe anakufata hukooo
 
Yaani mtu akiingia anga hii tu....asipotoka kajinyea basi atajiharishia.
Watu wengine wameshushwa duniani kuja kutupa stress.

Hhhhhaaaaaaaaaaaa, hivii Lucy ulimuonaaaaa???
 
Binamu unajua nini....mie nakaa mtaa wa wambea sana, sasa naweza kulala kabisa hukohuko....maana raha ya umbea mpaka ufike 'The End', ila jana nilipitiliza

Ahahaa hahaha maninaaa jana ilikuwa shidaaa full mvutano, nyie lucy sio mtu mzuri kabisa

Mi wiki ijayo binamu nahamia uko, maana uku nako nshapewa notis nihame,umbea huu jamani, bora nikakae mtaa wa wambea wenzangu, tukeshe mpaka hasubuhi, weraaaaaaa
 
Ngoja nikupe like tu naogopa kukuzoea kabisaa,ile mvua ni mpya sijawahi iona dunia nzima aisee

Plz nahtaj kuiona hyo mvua ilishushwa WAP
Nampenda sana huyu mwanamke mrembo by nature mweeee
 
Hhhhhaaaaaaaaaaaa, hivii Lucy ulimuonaaaaa???

Jamani lucyyyyyyyyyyy, khaaaa, binamu zile skuna wanauza wapi? Nataka nikununulie, wiki ijayo twende zetu zenji tukale bata
 
Siku binamu mahaba na mimi yamepungua sio kama zamani, sijui umepata binamu mwingine mitaa ya kati, sielewi

hapana hayajaisha ila nilikua naingia kwa kuchungulia chungulia tu umbea mwingi umenipita kweliii
llloooh!!
 
Kuna mtu kaja PM anaomba kujiunga na kundi la langu, anasema amenipenda bure, nikamuuliza kundi lipi? Naona ajajibu, sis ni zaidi ya alqaeda , ukituzingua lazima ufanyiew three some maninaaa

hahahahaha yaniiiii mwakani binamu nakupeleka ya Moto band ukashangae ya mjini kidogo. Niombee uzima nisisokomezwe kama ndege ya Malaysia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…