Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dinazarde muangalie sana Mrembo by Nature, maana anakuja vizur kweli ,yani hili ni jembe nalikubali vibaya mamaye, yani binamu famba yeyote akikuzingua niite tufe na ban wote kama nilivyojitolea kwa Dinazarde, uzur wangu mimi nikikupenda bhaas hata ban ntapata kwa ajili yako, nakukubali sana kamanda yangu.
Ni kweli tatizo umri apa jamani, yule mtu mzima unajua? Mtoto hana wala mchumba kashafel
Wewe, warumi na Mrembo by Nature.....sichezi na nyie.
ndio nini hamjanishtua kwa uzi ule.....nimekuja mwishoni umeshapigwa mstari Mwekundu....nini mbaya.
Sichezi na nyie.....sichezi na nyie
Ulivyomuita Madame B akawa kimya nkajua binamu kashatugaya siku izi
Yani wewe na Mrembo by Nature nawakubali vibya mno ,nyie ni majembe wa ukwee, sasa ukinitema si itakuwa shida, usinifanyie hvyo.
Bora ukufika maana jana kulikuwa na mafuriko humu, ilikuwa shidaa, lucy komba alikuwa habar ya mujini jana
Binamu unajua nini....mie nakaa mtaa wa wambea sana, sasa naweza kulala kabisa hukohuko....maana raha ya umbea mpaka ufike 'The End', ila jana nilipitiliza
Mpaka nimemuogopa Mrembo by Nature,binamu naogopa hata kumquote mwenzioo
Yaani mtu akiingia anga hii tu....asipotoka kajinyea basi atajiharishia.
Watu wengine wameshushwa duniani kuja kutupa stress.
hahahaha kitu kinafukua hadi miamba ... Hii ni team niheshimu nikuheshimu. Ukileta shobo zinakurudia mwenyewe
Ahahah ahaha Team three some inaitwa, ni kiboko aka homa ya jiji
Watuache miaka mia, tumeshashindikana afrika mashariki na kati, mamayeeee, hahahahahh ahahah hapana chezeyaaa
Binamu unajua nini....mie nakaa mtaa wa wambea sana, sasa naweza kulala kabisa hukohuko....maana raha ya umbea mpaka ufike 'The End', ila jana nilipitiliza
siku hizi mmetusahau nkwiingwaa!!!
na sie bas
Mhh ugomvi wa ngumi tu mwenzangu unanishikia smg...kulikoni? au ukiskia paah
Ngoja nikupe like tu naogopa kukuzoea kabisaa,ile mvua ni mpya sijawahi iona dunia nzima aisee
Siku binamu mahaba na mimi yamepungua sio kama zamani, sijui umepata binamu mwingine mitaa ya kati, sielewi
Kuna mtu kaja PM anaomba kujiunga na kundi la langu, anasema amenipenda bure, nikamuuliza kundi lipi? Naona ajajibu, sis ni zaidi ya alqaeda , ukituzingua lazima ufanyiew three some maninaaa