Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Kwa upuuzi huu hakuna mwenye akili timamu atakuteua, Magufuli alifariki kitandani akiwa peke yake bila gari, ikulu hata walinzi na hakuvaa suti, yote hayo ndiyo maisha yetu, tatizo lako haukuwahi kuwafahamu au kuwaona wazazi wako.Ndugu zangu Watanzania,
Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini.
Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini nahisi ni Kama ana tatizo la kiafya linamsumbua ama alikuwa anaumwa.
CCM hatunaga Roho mbaya . Sisi ni watu tuliojaa mioyo ya Upendo na huruma . Ni katika moyo hiyo na ndio maana tumeendelea kuungwa Mkono na watanzania wote . Kwa hiyo kama anaumwa ama alikuwa anaumwa nampa pole kwa Niaba ya CCM wa hapa Jukwaani.View attachment 3681317
Dah!Ndugu zangu Watanzania,

Dah,Ndugu zangu Watanzania,

Ndugu zangu Watanzania,

Dah,
binafsi namtakia afya njema na maisha marefu zaidi mzee slaa
Anavyomkandia Mzee wa watu utafikiri kama huko ccm hakuna wazee wanaoumwa au labda slaa angekuwa ccm ndio asingeumwaVijana mmekosa malezi bora mpo lazi kutukana au kudharirisha wazee kwa sababu ya siasa zenu chafu..
Wauaji wa Okt29 kutoa pole ni maajabu.Ndugu zangu Watanzania,
Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini.
Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini nahisi ni Kama ana tatizo la kiafya linamsumbua ama alikuwa anaumwa.
CCM hatunaga Roho mbaya . Sisi ni watu tuliojaa mioyo ya Upendo na huruma . Ni katika moyo hiyo na ndio maana tumeendelea kuungwa Mkono na watanzania wote . Kwa hiyo kama anaumwa ama alikuwa anaumwa nampa pole kwa Niaba ya CCM wa hapa Jukwaani.View attachment 3681317
Unajua ana miaka mingapi lakini?Ndugu zangu Watanzania,
Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini.
Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini nahisi ni Kama ana tatizo la kiafya linamsumbua ama alikuwa anaumwa.
CCM hatunaga Roho mbaya . Sisi ni watu tuliojaa mioyo ya Upendo na huruma . Ni katika moyo hiyo na ndio maana tumeendelea kuungwa Mkono na watanzania wote . Kwa hiyo kama anaumwa ama alikuwa anaumwa nampa pole kwa Niaba ya CCM wa hapa Jukwaani.View attachment 3681317
Omba Mungu Mkuu akufikishe zaidi ya umri wa Dr Slaa ,hadi kufika hapo inabidi apongezwe maana vijana wanakufa chini ya 45.Ndugu zangu Watanzania,
Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini.
Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini nahisi ni Kama ana tatizo la kiafya linamsumbua ama alikuwa anaumwa.
CCM hatunaga Roho mbaya . Sisi ni watu tuliojaa mioyo ya Upendo na huruma . Ni katika moyo hiyo na ndio maana tumeendelea kuungwa Mkono na watanzania wote . Kwa hiyo kama anaumwa ama alikuwa anaumwa nampa pole kwa Niaba ya CCM wa hapa Jukwaani.View attachment 3681317
Kufanya niniUmeenda zenji?
CCM ni Chama chenye upendo Mkubwa sanaWauaji wa Okt29 kutoa pole ni maajabu.