PICHA: Huu Ndio Muonekano Wa Dkt Slaa Kwa Sasa. Anatia Huruma Sana

Mleta mada naomba nieleweshe kitu limoja; mbona minyumbu imekasirika sana baada ya wewe kuleta habari hii?!!! Naona inashindana kutukana tu kama mijitu iliyonajisiwa, shida nini' kwani?!!!

Au wewe bwn Lucas ndiye unayeshikilia tOne tOne kwamba imeshindwa kutoa hata kasehemu Ili apate kutibiwa mzee huyo aliyemalizika kwenye majukwaa ya nyumbu?
 
Kwani muonekano wake una shida gani?
 
Kwani muonekano wake apo una shida gani?
 
We unataka Hata muda wa pozi upige suti, kweli we mshamba wa Mbozi!
 
Minyumbu imejaa Msongo Wa Mawazo
 

Mwonekano wa wasira.
 
Hivi shida yako huwa nini sikuelewi huwa wewe na Tlaatlaah mnaongeaga kama akili zenu zimetekwa mpo mpo tu mmejaa ujinga usio wa maana mnaniboaga kama matahira ya ccm mnaboa sana yani .

Sasa huyu mzee unadhani hata ukifanya bidii gani unaweza mfikia kwa lolote kazi upoyoyo tu mnaboa ifike mahali mjitambue
 
Acha Hasira bwana mdogo
 
Mbona hana shida ila ni umri tu umeenda!umbeya mwingine ni wa hovyo sana.mwanaume kuwa mbeya ni aibu sana.
 
Sasa madam,
kwani kuexpose mihemko yako useless jukwaani dhidi ya maoni huru ya wadau wa Jf dhidi ya mambo mbalimbali ya kisiasa na wanasiasa ndio inaweza kumpunguzia mdau muerevu wa Jf kitu gani kwa mfano? Kwamba watu wasieleze ukweli kwasababu wewe una mihemko dhidi yao?

Unafahamu kwamba siasa ni sayansi? Au umevamia siasa kama kibwengo, ukadhani hii ni nyumba ya ibada?

Halafu,
madame SweetyCandy ,mimi ni mtu brilliant sana,
kamwe siwezi kutamani kua na maisha ya tamaa ya fedha na mali bila jasho kama huyo mzee useless kabisa nchi hii politically speaking,

lakini pia kamwe,
siwezi kutamani kua na maisha ya tamaa ya ngono mpaka kupora watu wake zao kama huyo mzee,

na si hivyo tu,
kwamwe mim siwezi kutamani kua msaliti wa kisiasa, mtu wa tamaa ya vyeo na madaraka kama huyo mzee,

lakini pia siwezi kutamani kufikia kuishi maisha ya fedheha kwenye nyumba yenye ukuta uliochakaa kama inavyoonekana kwenye backgound ya hapo alipokaa, ukionyesha wazi kua anapitia wakati mgumu na maisha magumu na hana msaada na chadema chini ya heche wamempuuza na anaonekana hana maana yoyote chadema

So,
Kiufupi,
kamwe sitamani kufikia maisha ya laana na mikosi kama ya huyo mzee.

waambie na wenzako kuhusu ukweli huu mtupu bila kificho, sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…