PICHA: Huu Ndio Muonekano Wa Dkt Slaa Kwa Sasa. Anatia Huruma Sana

Hizi Siasa zimemaliza utu wa Vijana wengi Nchi hii

Hivi hamjui mtu akizeeka mwili unakongoroka

Umri haurudi nyuma, tunzeni afya zenu ili mfikie walau umri alionao Dr Slaa
 
Acha usenge wewe. Fuatilia maendeleo ya mama yako, kutwa nzima kuwafuatilia maisha wanaume wenzio. Je unajua kwamba Slaa ndiye mwanzilishi wa taasisi ya CCBRT?

Wewe umefanya nini kikubwa kwa jamii yako?
 
Acha ujinga
Muda huo huo tunapiga ugomvi dhihaka dhidi wa Rais
Wewe mjinga unaendeleza dhihaka Kwa watu.
 
Kaka nani amekwambia tanzania kuna ugomvi wa ccm na chadema??? Au hujui tumeoleana tumezaa ,hii chuki ya kufurahia mtu kuumwa umeitoa wapi?? Ndo maana wana ccm viongozi wengi hawakupendi wanasema mnafiki huaminiki
 
Hizi Siasa zimemaliza utu wa Vijana wengi Nchi hii

Hivi hamjui mtu akizeeka mwili unakongoroka

Umri haurudi nyuma, tunzeni afya zenu ili mfikie walau umri alionao Dr Slaa
Umemaliza!Waweke picha ya Baba zao tuwaone hapa wana Hali gani!Sema hivi vitoto vingi vinavyotukana hovyo ni vya 2000+!Kwahiyo unaweza ukakuta hata wazazi wao wanamwita Dr Slaa Babu!!!!πŸ˜€
Wengine wanamtukana tu wamekuja kumjua akiwa katibu mkuu CDM!
Ukiwaambia hawaujui moto wake akiwa Bungeni,hata ukiwaambia List of shame hawajui ni kitu gani maana walikuwa bado wananyonya!

Mzee huyu amelipambania taifa hili dhidi ya mafisadi Kuliko wabunge wote wa CCM combined!
Ilitakiwa apewe tuzo ya heshima,sema ndio hivyo nchi zetu za rangi nyeusi!
 
Kuna yale mapungufu nilokuambia unayo wakti ule wayakumbuka?

That is a personal attack kwa huyo mzee na dhihaka sidhani kama waelewa?

Hiyo haikusaidii chochote kwasababu wajidhalilisha weye mwenyewe.
 
Umesema sahihi Mkuu


Unajua hali ya Siasa zetu, imebadirika kuanzia 2016 January hadi kufikia sasa

Matusi,kudharirishana, uchawa n.k

Ni bahati mbaya, vijana wengi hawajui nguvu ya upinzani ya kuanzia 2005 hadi 2015 ilivyoleta chachu kubwa kwenye uwajibikaji, Demokrasia na mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi.

Kwasasa watawala wanafisadi kiwango Cha kutisha lakini machawa wao wanavyowapaka mafuta, utasema ni Viongozi wazalendo πŸ™Œ
 
Siku za nwanadamu aliyezaliwa na mwanamke haziwagi nyingi sana, tupendane tu na kusaidiana. Huyu mzee ana mchango wake mkubwa sana jwenye hospitali ya macho ya CCBRT ambayo leo hii ni kimbilio la wengi. Tumuombee hata kama kuchunga ulimi wake kunamshinda.
 
Tuwekee picha ya Msekwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…