PICHA: Huu Ndio Muonekano Wa Dkt Slaa Kwa Sasa. Anatia Huruma Sana

Kaka nani amekwambia tanzania kuna ugomvi wa ccm na chadema??? Au hujui tumeoleana tumezaa ,hii chuki ya kufurahia mtu kuumwa umeitoa wapi?? Ndo maana wana ccm viongozi wengi hawakupendi wanasema mnafiki huaminiki
Kiongozi yupi huyo Uliyekaa naye akakwabia Kuwa mimi ni Mnafiki sieleweki . Embu Weka Jina Lake hapa na Sehemu aliyokuwambia mlipokuwa mmeketi
 
Wewe ni Lucas Mwashambwa
 
Kiongozi yupi huyo Uliyekaa naye akakwabia Kuwa mimi ni Mnafiki sieleweki . Embu Weka Jina Lake hapa na Sehemu aliyokuwambia mlipokuwa mmeketi
Wengi kabisa mfano ukipewa uteuzi niite mbwa kwa siasa za hivi,wenzio wako kufanya chama kipendwe kwa kuongeza wanachama kwa kuteka wasio wachama kwa kuwa wema na kupinga kwa hoja ,ww kutwa sijui kakudanganya nani kuwa ili uwe mccm mzuri uwakandie chadema ,wana ccm wa kwel kama january makamba,nape ,hata makonda ,marehemu lukuvi ,dotto,ndejembi hutakaa uwasikie wanagombana au kuweka chuki na chadema au asie mwana ccm huo ushamba anao ww katambi,muone chalamila na maneno yake ila huepuka kuonesha chuki na chadema yuko busy na kazi aliyopewa
 
Acha Habari za kusema Wengi Kama Zuzu . Embu Niorodheshee Hao Viongozi Wangu ambao Unasema wanamichukia na kuniona Mnafiki na nisiye Aminika .

CHADEMA siyo chama bali ni genge la wasaka tonge wachumia tumbo waganga njaa na wajasiriasiasa tu na maadui wa Taifa letu
 
Tofautisha kati ya taifa na genge lenu la majambazi CCM!Usichanganye kabisa hivyo vitu viwili
 
Ww angalia kama utateuliwa basi hutakaa
 
Hebu kwanza CCM na serekali yake imrudishie hadhi ya ubalozi iliomwondolea baada ya kumtumia.
 
Yule mkewe yu wapi kipindi hiki mumewe anaumwa?aje kumhudumia
 
Lakini keshazeeka hapo anatakiwa kuelewa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…