PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

Kaka kwa Sasa sioni suala la familia, since malaika wangu aondoke.
Nime amua KU focus na mambo yangu.
Niliwai kua in that situation once apon a time😊😊😊 wanawake wote nikawa nawaona ka mavempire πŸ˜ πŸ˜‘πŸ˜ˆπŸ‘Ώ after years nikampata CRUSH wangu the Rest is History
 
Niliwai kua in that situation once apon a time😊😊😊 wanawake wote nikawa nawaona ka mavempire πŸ˜ πŸ˜‘πŸ˜ˆπŸ‘Ώ after years nikampata CRUSH wangu the Rest is History
Gud for you kaka, guess una pata special care kwa siku za hivi karibuni πŸ€“
 
Herpes ni bacterial infection?..naona umerecommend antibiotics..nijuavyo mimi herpes ni viral infection.
 
Gud for you kaka, guess una pata special care kwa siku za hivi karibuni πŸ€“
Yes,
Kuna mambo ambayo mtu mwingine asinge weza yavumilia true Ila wife kawa msaada Sana na Hiki kipind ndio tumekua karibu karibu MAANA Mimi Ni ubusy wiki nzima kwa mwaka nzima so ajari imeniweka home 24/7

Leo nilienda clinic kuangalia maendeleo ya mguu wangu naendelea vyema so kuanzia kesho ntaanza mazoezi rasmi ya kusimama na kukanyagia..

For sure nimeingiwa na hofu na woga kwenye haya Maisha WE CARRY LIFE & DEATH...

Ndio naanza kujifunza kutembea Tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…