Picha: Huyu dada alichukuliwa na Polisi akiwa nyumbani hajarudi mpaka leo

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike tupunguze machungu

1764252077383.png
 
She looks innocent! Tafadhali!!
 
Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike tupunguze machungu

Duh,
Mtoto wa miezi 6 mama yake katekwa na pengine kashauawa!

Watanganyika hawana msaada, hata jeshi lao halina msaada kwao, ni huzuni kubwa
 
Daah sasa watu kama hao wana madhara gani kwenye jamii mpaka watumie nguvu kuchukuliwa mpaka na polisi mtu ambae anaweza kuadhibiwa hata na mwenyekiti wa mtaa..
 
Kisa huambatana na penzi (mzee Zahir Zoro). Patakuwa na namna.
 
Kisa huambatana na penzi (mzee Zahir Zoro-Cleopatra). Patakuwa na namna
 
Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike tupunguze machungu

Nasikia anamtoto mdogo, waziri wa jinsia, wanawake na makundi maalumu tumtag alafu ndugu wapeleke huyo mtoto polisi ili mama yake apewe amnyonyeshe.

Uongozi gani huu wakidhalimu unanuka damu za watu yaani majitu hayana hata huruma. Umeua watu ubaki madarakani bado wale wanaosimama na wananchi walodhulumiwa roho zao mnawakamata
 
Huyu dada ameniuma sana, nlivoona clip za watoto wake wachanga wanavolia 😭😭 uwii Mungu tusaidie
 
Inaongeza hasira sana hizi mambo. Halafu wakuu kuna yule dada alivaa jezi ya Simba SC siku ya mechi dhidi ya Nsingizini. Nyuma ya jezi yake kulikuwa na maneno "I Love Lissu" naye alichukuliwa pale uwanjani sijui status yake ikoje?? Kwa anayefahamu atujulishe tafadhali.
 
Hao wapumbavu waacheni tu wachukiwe na kulaaniwa. Kiufupi wanaleta sana hasira. Kitendo alichokifanya Hamza kipindi kile, bila shaka kilisababishwa na mambo ya uonevu kama haya.
 
Nasikia anamtoto mdogo, waziri wa jinsia, wanawake na makundi maalumu tumtag alafu ndugu wapeleke huyo mtoto polisi ili mama yake apewe amnyonyeshe.

Uongozi gani huu wakidhalimu unanuka damu za watu yaani majitu hayana hata huruma. Umeua watu ubaki madarakani bado wale wanaosimama na wananchi walodhulumiwa roho zao mnawakamata
Hata ukimtag haitasaidia kitu kwa sababu na yeye hapo alipo anamtumikia Ibilisi, ili maisha yaendelee.
 
Hapo ni hawa mbwa wa serikali huwa kukiwa na operation ya kukamata huwa wanakamata yeyote tu sjui kwann wapogo hv na hawana huruma hata kidogo

Pia huwa wanaweza kukubadilishia kesi,yaan wanakukamata kwa kosa dogo lakin huko huko wanakubadilishia kesi tena wanakupatia kesi kubwa kabisa
 
Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike tupunguze machungu

Hapa Dkt. Gwajima D anapita kimya kimya kama anaaga maiti
 
Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike tupunguze machungu

Kunguni Lucas Mwashambwa , hii laana ni LAZIMA utagawiwa furushi lako ukale na wa kwenu.
Huu uchawa wako unahamasisha hawa watawala haramu waendelee kuumiza raia.
 
Back
Top Bottom