She looks innocent! Tafadhali!!Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike tupunguze machungu
Duh,Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike tupunguze machungu
Nasikia anamtoto mdogo, waziri wa jinsia, wanawake na makundi maalumu tumtag alafu ndugu wapeleke huyo mtoto polisi ili mama yake apewe amnyonyeshe.Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike tupunguze machungu
Hata ukimtag haitasaidia kitu kwa sababu na yeye hapo alipo anamtumikia Ibilisi, ili maisha yaendelee.Nasikia anamtoto mdogo, waziri wa jinsia, wanawake na makundi maalumu tumtag alafu ndugu wapeleke huyo mtoto polisi ili mama yake apewe amnyonyeshe.
Uongozi gani huu wakidhalimu unanuka damu za watu yaani majitu hayana hata huruma. Umeua watu ubaki madarakani bado wale wanaosimama na wananchi walodhulumiwa roho zao mnawakamata
Hapa Dkt. Gwajima D anapita kimya kimya kama anaaga maitiKauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike tupunguze machungu
Kunguni Lucas Mwashambwa , hii laana ni LAZIMA utagawiwa furushi lako ukale na wa kwenu.Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike tupunguze machungu