Ningekua mimi ningepa Chalamila ukatibu wanezi unafaa
 
CCM hawawezi mpa ukatibu mkuu mtu wasiemlea kiitikadi na kiimani. Kafulila, huyo dogo na Mwakyembe watoe hapo.

Katibu mkuu wa CCM, hawezi kuwa wakuja. Atakuwa ni mtu waliomlea wenyewe na kumkomaza, yaani kwa lugha nyingine kakulia ndani ya chama, kalelewa na ana kijua chao chakavu.

Huyo Kafulila hata wao hawamuamini! Ataishia kupiga kelele kwenye serikali huko chamani hawawezi muingiza mtu aliewapinga kwa miaka mingi bungeni.
 
Kafulila ni mgeni CCM na CCM inawenyewe Kafulila labda mwenyewekiti wa mtaa huko chini mtu hajawai kushindwa nafasi yoyote kwenye chama cha mapinduzi ghafla apewe ukatibu mkuu au Mwenezi mnaumwa

CCM watu wanaichukuliaga poa sana. CCM ni washenzi wale, wana miiko yao, mtoto wa kambo hachezei chumbani.
 
CCM watu wanaichukuliaga poa sana. CCM ni washenzi wale, wana miiko yao, mtoto wa kambo hachezei chumbani.
Wanaleta utani hawa mtu hajakulia kwenye Chama apewe na nafasi ya juu ya Uongozi tena kwenye Chama ayo Mambo yako Chadema
 

..mbona Dr.Bashiru aliwahi kuwa CUF lakini akateuliwa Katibu Mkuu wa CCM?

..Kama Mwenyekiti anamtaka David Kafulila awe Katibu Mkuu hakuna wa kupinga.
 
Hatimaye siku Zimewadia
 
Ni.kina nani hao mbona kama mazezeta hasa huyo kwenye picha ya mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…