waziri wa mambo ya nje Thabit Kombo anafaa hiyo post, mwenezi arudi makonda, makamu Ally Happy
 
hivi CCM hainaga watu wapya?
 
Sifa ya msingi....awe na minutes za hali ya juu ya kuteka na kuua watanganyika
 

Huyu shaka hamdu si ni type ya akina Lucas Mwashambwa, @tlatlaah na ChoiceVariable
 
Hakuna tetesi yoyote ni ujinga wa ccm kudhani kuna NTU anapendwa na ana hoja huko ccm.

Hahaha mbona umelisahau JEMBE lao Wasira?
 
Ondoa Kafulila hapo! Maccm hayawezi kukubali! Hapo anayefaa labda Shaka Humud Shaka!
 
Hakuna jipya kwa hao..
#1 na #3 siyo wanasiasa wabobevu.

#2 ni Mzenji, huwezi kuwa na M/Kiti Mzenji na Katibu Mkuu Mzenji, labda kama mnataka kubinafsisha ccm kwa Wazenji
Kwa CCM hakuna kinachoshindikana
 
Hakuna hata mmoja hapo mwenye sifa
 
Mwakyembe tunamjua anapiga vita ushoga balaa.
Sasa kuna mwingine hapo sijui inakuwaje maana nae anajulikana.
 
Mnataka kubadilisha tena Katibu Mkuu wenu..?

Ok. It's your business. Hata hivyo, tuwasaidie ushauri kidogo...

1. Dr Harrison Mwakyembe:

Is too old, hawezi misukosuko ya kina John Mnyika, John Heche, Deogratius Mahinyilla, John Pambalu, Chacha Heche etc.
Ataaibishwa bigtime na Tundu Lissu kwenye majukwaa ya siasa...
Si mnamuona babu yenu Steven Wassira at 80 years old mlivyompa jukumu gumu la u - VC..?
Kaenda raundi moja tu ya ziara, kapigwa mawe, yuko hoi hawezi tena hata kuamka...
Mtammaliza na kumuua mzee wakati kabla ya wakati wakti maana bado anaweza kuishi ingalau miaka 10 zaidi mbele to his 90s akiwa mtulivu nyumbani kwake huku akibembeleza wajukuu..!

2. Shaka Hamidu Shaka

He's too stupid...
Hana stage presence...
Hana uwezo wa kujenga hoja za kushawishi..
Hawezi mikikimikiki ya vijana wa CHADEMA..
Moreover, ni Mzanzibari. Wazanzibari uwezo wao unaishia huko baharini. Ukivuka maji, ni vapour. Si mnamuona Chura Kiziwi? Anaharibu nchi yetu. Hafai...!

3. David Kafulila

Better..
Ni kijana aliyekulia na kulelewa CHADEMA huyu. Ni product ya CHADEMA hii..
Huyu ni mjenzi mzuri wa hoja. Anaweza kushindana kwa hoja..
Huyu si tu anaweza kuwa GS wenu huko CCM. Huyu ndiye anaweza kuwa president material wa CCM..
Toeni hii takataka, inayojiita na kujipschika jina la samaki mchanga wa miguu minne, Chura tena sio tu chura bali CHURA KUZIWI...!
 
Chama mbona kina watu smart sana kuliko hao.Ikishindikana dkt Bashiru anatosha kabisa hapo.
 
Hakuna Watu Hapo
Hawana Uwezo Sasa
Kinachoeleweka Sana Sana Sasa
No Reforms, No Election
 
Yaani Shaka kilaza aliyeishia form four awe katibu mkuu wa CCM! labda kama wanataka katibu mkuu wa mipasho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…