Hapana mleta mada. Wanaotajwa sana ni Steve Nyenyere, Jimmy Mafuvu na Mwijaku.
 
2. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa Kwa takwimu na mwenye historia ya kukubalika na Watanzania wote bila kujali tofauti za kiitikadi wala kiimani
Paramagamba!
 
5. Awe mwenye Viwango vya juu vya Uchawa.
6.Awe mwenye uwezo wa Kusema Uongo,kudanganya wananchi.

Sioni kwa hao kama kuna mwenye sifa hizo!
 
CCM mumeshachokwa hata mkimteua padre kitima bado mtapigwa za uso tu

Nitausahau na kuusameheuovu wote wa CCM , kamawale 83 wote ambaokiongozi wao aliwateka, na baadhi kuwaua.

BIla la hilo, labda wamleta huyu muuaji mbele ya wananchi, kisha wananchi wapige kura kuamua afanywe nini. Vinginevyo, CCM itabakia kuwa CHAMA CHA MASHETANI, na hakuna mtu mwema anayethamini uhai na utu wa binadamu anaweza kuwa huko.
 
Shaka hamdi shaka anafaa ila kutokana na uzee wa Harrison mwakyembe ndiye atakuwa katibu mkuu
 
Makamba jr
 
4. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kutawala Social media (mitandao ya kijamii) kwakuwa ndio hasa Upinzani wanatumia njia hiyo Kwa kuzingatia Kwa sasa Kwa mujibu wa TCRA Kuna zaidi ya Watanzania 40mil wanatumia mitandao ya kijamii.
CCM haikeshi mitandaoni iko vijijini.kwenye majority ya watanzania wasiojua hata mitandao ni kitu gani na mijini iko mitaani physically kwenye maeneo ya watu wengi ambao kwao matumizi ya mitandao madogo na wengi simu zao ni nokia torch

Kifupi utawala wa sasa umepania ile kauli mbiu ya Chama kushika hatamu

Ndio maana tumeona Mgombea uraisi na Makamu wote wakiwa viongozi wa CCM kitaifa wenye uzoefu ndani ya vyeo ndani ya CCM na jumuiya zake sio outsiders
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜ƒ
*005#
 
Hao siyo comrades ni matapeli
 
Wewe tunakujua ni Tumbili!! Acha kujipigia debe Lofa wewe
 
Huko kwenye majority mlikojikita ndo kule mnakobeba watu kwenye mabus kwenda mikutanoni!?
 
Hapo mwenye ubavu wa kushawishi ni kafulila hao wengine afadhari ya nchimbi

NB CCM haihitaji katibu mkuu kushinda uchaguzi hapo anatafutwa mtu asiyetishia maslahi ya mwenyekiti kwenye mbio za uraisi
 
Huko kwenye majority mlikojikita ndo kule mnakobeba watu kwenye mabus kwenda mikutanoni!?
Ofisi za CCM ziko kila kijiji na mtaa nchi nzima hata hapo kwako mtaani au kijijini ofisi ya CCM ipo.Na wana CCM wapo

CHADEMA hakuna .Zanzibar nzima kwa mfano Chadema wikaya nyingi tu haipo.haina tawi

CCM haina upungufu wa wanachama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…