Picha: Huyu ndo mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda..!

Kuna baadhi ya posts ni zenye kuudhi,hii ni mojawapo.Ila kwa kuwa sina uwezo wa kupanga nini kirushwe humu,basi tu.
 
Mtoto mdogo anatakiwa kulindwa dhidi ya unyanyasaji.Kutuma picha za mtoto ni unyanyasaji bila kujali ni wa nani.Wahusika washauriwe
 
Huenda ni kweli aisee huo mdomo wa juu kama wa jamaa kwa wale tulio karibu yake tunaujua
 
Mungu amjalie hekima na busara afanane na baba yake, sio midomo tu hata fikra na jitiada.

Hongera mhe!!
 
Hongera kwa DAB na mkewe.

Mtoto huwa ni baraka siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…