Picha ilipigwa 1895 Congo Raia wa Ubelgiji akivushwa mto na wapagazi

Wakipatikana viongozi wenye maono mnawauwa na kuwapinga kijuha,acheni tuteseke tu
Moja ya vitu vilifanya Magufuli aonekane mbovu kabisa ni kutokuwa na maono. Ni kweli alikuwa anajiamini na alikuwa anaamini sisi wenyewe ndiyo tutajiletea maendeleo, lakini hakuwa na maono. Alijaa ubinafsi, kupenda kuabudiwa na ukosefu wa maono.
 
Senseless
 
Inasikitisha kwa kweli. Halafu kutwa wanatuimbia tupende amani na utulivu kumbe ili wazidi kula mali za taifa kiulaini
 
Wewe na mimi tunatoka kijiji kimoja mbona unayoyasema sijayasikia! Sema tu hiyo ni hisia yako, lakini kuongopea kijiji chetu acha.
 
Wewe na mimi tunatoka kijiji kimoja mbona unayoyasema sijayasikia! Sema tu hiyo ni hisia yako, lakini kuongopea kijiji chetu acha.
Samahani, nilisahau. Kumbe ni Serikali ya Chadema ndo haikuongeza mishahara kwasababu pesa zilielekezwa kwa Stigler's; na pia haikukopa kabisa kwasababu mikopo ina masharti magumu sana---

In a serious note, sijui tunamlalamikia nini Mzungu kama fikra zetu ndo za mfano wako--
Kama kazi yako ni kutetea kila kitu ili uweze kula, acha hiyo kazi kijana/mzee--
 
Bora Juha ana akili hata ya kumsindikiza choon...ZUZU ndio balaa kbs
 
Kanye West anakwambia waafrica walipenda wenyewe kutawaliwa.
Inawezekana hili maana kwa jinsi mzungu akija africa mtu anaweza kumgawia mzungu ht mke alale nae..hili lilitokea kenya.
Inawezekana babu zetu walipenda hilo hata
 
Labda tuliumbwa kwuatumikia, yani haiwezekani tushindwe kujiongeza. Binadamu anatawala wanyama wengine kwasababu ana akili kuliko wao. Je, hawa wanatutawala kwasababu wana akili kuliko sisi?
 
Inawezekana hili maana kwa jinsi mzungu akija africa mtu anaweza kumgawia mzungu ht mke alale nae..hili lilitokea kenya.
Inawezekana babu zetu walipenda hilo hata
Kabisa mkuu, yani mtu anachanganyikiwa kabisa
 
Mababu zetu walikua wapumbavu sana
Kwani hao babu zenu waliobeba mzungu wana tofauti gani na dereva wa waziri ,wote wote ni madereva tu.kumbuka hao wabebaji walikuwa wanalipwa
 
Acha kuwaonea ndugu, kwa sasa tunabebana waswahili kwa waswahili kwa kuangalia mfuko wako una mini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…