Jeshi la Hamas ni nadra sana kuvaa kiraia, pia huficha nyuso zao kamwe hazionekani. Lakini wauwaji wa Joshua walikua hawana nguo za jeshi wamevaa kiraia na pia nyuso zao zilikua wazi.
Kwanini Hamas hufunika nyuso zao?
Hamas daima hufunika nyuso zao. Watu hawa, ambao hawajajulikana ni wakina nani haswa, hujitokeza katika kila taswira na miundo tofauti ya barakoa.
View attachment 2845943
Vinyago vyao vina madhumuni mawili: vinafanya kazi kama ngao ya kulinda kutokujulikana licha ya athari zinazoweza kutokea, na pia hutoa taarifa yenye nguvu. Kinyago kinakuwa ni nembo ya fumbo katika masuala ya usalama ya mtu binafsi na msimamo wao wa kiitikadi.
View attachment 2845950
Chaguo lao la kutokujulikana ni uamuzi uliojaa sayansi ya mikakati - iwe kwa tahadhari, hofu, au mchezo wa kimkakati katika itikadi.
View attachment 2845945
..........................
Je kwenye tukio la Joshua Hamas waliamua kuvaa kiraia na kutokufunika nyuso?
Jibu ni Hapana ispokuwa siku hiyo kulikuwa na raia wengi wa Gaza wakifanya kama Hamas, baadhi ya raia walikuwa na silaha na walikuwa wakiendesha magari yaliyotumika katika vita. Kwa hiyo hawa si Hamas na kwa bahati mbaya inasemekana wote wameshakufa waliomuua Joshua.
Hili ndio kundi lililomuua Joshua
View attachment 2845957
Hapa wakiwa katika picha ya pamoja
View attachment 2845958
.........................
Wapembuzi wanadai kwamba, Joshua kuvalia boxer ya jeshi sio kosa, labda kuna kosa lilifanyika ndio maana wakamchukulia sheria mkononi. Israel inawakaribisha watu kujiunga na IDF ili kuwapigania, na watu waliomkabili Joshua sio Hamas bali ni watu kutoka west bank, Hamas hawaonekani hadi sasa. Jambo gumu ni kwamba Waisraeli wao wanazungumza Kiarabu pia.
Joshua hana hatia kabisa hata kama alijiunga kulitumikia jeshi la Israel, na kusababisha vikwazo kwa wapinzani kufikia lengo lao. Bado hana hatia ya kuuawa namna ile, kwasababu kujiunga kwake na IDF huwenda hakuwa na namna ila kufanya hivyo.
Kwanini wauaji sio Hamas, ni kwasababu Mwanafunzi wa kilimo aliyeenda Israel, kisha akaishia mateka huko Gaza, ilikua vipi akafika Gaza? kufanya nini? Hamas walimpata vipi?
Tuseme alikua miongoni mwa wale ambao walichukuliwa mateka kwenye shambulio la Okt 7 na Hamas ambapo ripoti zimeonyesha kuwa aliuawa mara moja, hata hawakumuweka hai kwa saa nyingi kusubiri mazungumzo.
Je, alikamatwa na kuuawa hapo hapo Israel? au alisafirishwa na baiskeli yake hadi Gaza?
Yote kwa yote inasikitisha kumuona akichomwa visu usoni na kupigwa risasi, hakuwa hata Muisraeli. Haikuwa lazima kabisa kumuua.
Picha hii inasambaa kuashiria kwamba huyu ni Joshua akiwa katika gwanda za IDF
View attachment 2845967