Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

Wakati anauwawa alikua kwenye hayo magwanda?

Vp mtanzania mwingine, Clement, nae kuna picha yake akiwa kapigilia hayo mavazi?

Kwanini Palestine hawatoi tamko kukanusha au kutoa upande wao wa story badala ya nyie kuja na utetezi wenu wa kuungaunga? Hili nalo linahitaji ruhusa ya Israel?

TZ imeiunga mkono Palestine toka enzi za Nyerere aliyekua mkatoliki kindakindaki just for them to give this payback. Hakuna cha maelezo, pole wala jitihada zozote zile. Smh
 
Na hiki kiganja cheupe kabisa ni cha Joshua?

 
Israel si sehemu salama miaka na miaka tuache kwenda huko sio kila fursa ni fursa
hata uarabuni kwa ujumla , kule sio salama kwenda ku hustle. Tena kwa ngozi zetu hizi dah! Wenyewe wakija huku the way wanavyowa treat blacks kimadharau , ukienda huko kwao je!
 
Mimi zungumzeni yoote leteni propaganda zoote ila waliomuua Joshua ni waisrael. Halafu haya mambo ya kusema et wao ni wachaguliwa wa Mungu sijui nn ni ujinga tu na hayana maana yoyote. Wale ni wauwaji. Kama sio Leo basi kesho haki kwa wapalestina itapatina tu. Mimi si muislam na Wala Sina ushabiki wa kidini. Ubabe wa marekani na Israel kwa Imani yangu utaendelea lakini wao pia hawatakuja wakae kwa uhuru na amani. Joshua kauwawa na hao hao waisrael.
 
Mkome mkome mkome.

Kwenda kujipendekeza Israel manina zenu.

Pelekeni wanafunzi wengine tena wakaliwe vichwa. Mamaee.

HAMAS chinja mashogaaaa
Katahira kakubwa wewe umekalia umaskin hapo newala umabana pua mk...Wako
Huyo alkuwa kusoma sio zezeta kama wewe uliyekimbia umamde
 
Nyie magaidi mtalipa tu

Waarabu wenu waliopo hapa Tanzania watalipa
 
Vita ya Hamas na israeli haina uhusiano na dini . Gaza makanisa na wakristo wamepigwa mabomu na israeli unalijua hilo? Hamas ni wapigania uhuru wa palestina
Waongo katika ubora wenu,mlitaka mjifiche makanisani,hospitalini,misikitini ili iwe kinga?viumbe wa hovyo kweli nyinyi!
 
Vita ya Hamas na israeli haina uhusiano na dini . Gaza makanisa na wakristo wamepigwa mabomu na israeli unalijua hilo? Hamas ni wapigania uhuru wa palestina
Hujui kitu pengine ni kutokana n'a ufinyu WA Elimu
Hamas n magaidi maana yenyewe Yana dola yao ndani ya palestina,yaani eneo la Gaza serikali ya Palestine haifiki yamekalia yenyewe na Yana jeshi lake na serikali yake Hao sio magaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…