John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Kwani hata hapa Tz ni sehemu salama?? Vitendo vya Utekaji wa watu na mauaji ya watu ambao maiti zao zilikuwa zinaokotwa kwenye viroba vilikuwa vinafanyikia wapi kwani??Israel si sehemu salama miaka na miaka tuache kwenda huko sio kila fursa ni fursa
Jamaa ilimradi awapambe ndugu zake katika imani, aeleze hao waliochukua mateka walifunika nyuso zao na nini...
Akili kisoda.Mkome mkome mkome.
Kwenda kujipendekeza Israel manina zenu.
Pelekeni wanafunzi wengine tena wakaliwe vichwa. Mamaee.
HAMAS chinja mashogaaaa
Mleta Mada alipofananisha tuu hzo nguoUmeshindwa kung'amua kwamba hizo picha 2 moja wakimuua na hiyo nyingine wako pamona ni watu tofauti kabisa.
Majitu ya mashariki ya Kati ni makatili mnomnomnoHvii inakuwaje mtu unaua mwenzio kikatili hivi au kwa sababu mweusi ?hebu fatilien kwa kina huyo kijana ni nani najuta sana kuangalia hiyo video halaf et wanasema Mungu Mkubwa?Mungu huyu huyu anaekataa kuua laa!
Alienda kujifunza kilimo Israel au Gaza? Gaza alifuata nini? Je mateka waliomteka walimchukua na Baiskeli yake hadi Gaza?Umeandika ujinga ujinga HATA ujui Joshua alifata nini Kule,alienda kujifunza mambo ya KILIMO sasa siku nyingine uache kukurupuka
Tafuta picha za Joshua kisha linganisha na hiyo utapata jawabuUmeshindwa kung'amua kwamba hizo picha 2 moja wakimuua na hiyo nyingine wako pamona ni watu tofauti kabisa.
Tofautisha kati ya Raia na Hamas
Sihitaji kufanya hivyo kwasababu nimeshaziona mara mbili mbili na kwa makini, hao waliomuua na hao wengine waliosimama pamoja ni watu tofauti na hata aina ya silaha walizonazo ni tofauti (kama una uelewa na mambo ya silaha lakini)Tafuta picha za Joshua kisha linganisha na hiyo utapata jawabu
IDF wanazotaratibu za kuwakaribisha watu wa mataifa mbalimbali kujiunga katika jeshi lao.Katika ujinga wewe ni wa kiwango cha Juu sana
Alienda kusoma wewe hayo ya kujiunga na jeshi umeyatoa wapi?
Hiyo dini imekufanya uwe mpumbavu
Km hawa ni raia sawaTofautisha kati ya Raia na Hamas
Huwa ni mwanga mkali wa taa za gari ya jeshiNa hiki kiganja cheupe kabisa ni cha Joshua?
Video si hiyoMimi zungumzeni yoote leteni propaganda zoote ila waliomuua Joshua ni waisrael. Halafu haya mambo ya kusema et wao ni wachaguliwa wa Mungu sijui nn ni ujinga tu na hayana maana yoyote. Wale ni wauwaji. Kama sio Leo basi kesho haki kwa wapalestina itapatina tu. Mimi si muislam na Wala Sina ushabiki wa kidini. Ubabe wa marekani na Israel kwa Imani yangu utaendelea lakini wao pia hawatakuja wakae kwa uhuru na amani. Joshua kauwawa na hao hao waisrael.
Hayo mauaji yana makandokando ambayo hata mimi nimeshindwa kuyajua. Hivi Hamas wanaweza kuua huku wakijirekodi na kuonyesha sura zao? Video imepatikanaje? Ni nani amei-publish kwenye social media? Kama ni Israel, hawaoni kuwa ni kumdhalilisha marehemu na familia yake?Hvii inakuwaje mtu unaua mwenzio kikatili hivi au kwa sababu mweusi ?hebu fatilien kwa kina huyo kijana ni nani najuta sana kuangalia hiyo video halaf et wanasema Mungu Mkubwa?Mungu huyu huyu anaekataa kuua laa!