Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

Dini mnaisingizia sana...
Hao Waisraeli mnaowatetea wenyewe hawako kwenye dini...
70% wanamsubiria Yesu aje kwa mara ya kwanza🤣
Hakuna anayeongelea udini hapa.
Tunaongea suala la kuuliwa mwananchi mwenzetu.
Mnadhani kila anayeongelea hili suala ni mkristo? Tupo tusioamini kwenye dini yoyote ile. Na vilevile kila mtu ana haki kuwa upande wowote ule anaoutaka.
Hamas ni barbarians, wanasema wataua wageni wote wataowakamata ambao wako upande wa Israel. Wao ni nani kuwapangia watu wa mataifa mengine kutokanyaga Israel?
Ni chama cha mrengo wa kigaidi wakikumbatia mafundisho ya itikadi kali kwamba waue wakristo na wayahudi. Period.
 
Ujinga kivipi wakati gadafi aliwaomba wauaji wake wasimuue lakini wakamuua, joshua akuomba hao wauaji wasimuue ila wakamuua, sasa tofauti iko wapi tena wote walifanya hayo mauaji wakimtamka mnyanzi mungu.
“He who conceals hatred has lying lips, and he who spreads slander is a fool” (Prov. 10:18).
 
Hivi umeelewa mada vizuri ndugu?
 
IQ mithili ya decimal 0.000000000001
 
Hili jibu langu haliwalengi waislamu wote. Some of you believers of Allah mna indoctrination ya chuki iliyopita kiasi. Mtanzania mwenzetu ameuawa (I said what I mean to say) mnakazana na conspiracy theories ili kujustify au kuhalalisha kifo cha Mtanzania mwenzetu but siwalaumu sana, as much as you guys remain to be absolutely disgusting. Mnafundishwa chuki, kuchukia the west, and hating kuffars. Mnakuwa indoctrinated kuwachukia mnaowaita Mayahudi (disgusting). One of the most hateful ideologies kuja katika dunia ni hii. Imagine ndugu wake wa karibu aone huu upuuzi. Sometimes, weka udini pembeni and have empathy and stop being a disgusting twat
 
Utakuwa held responsible for assassination of character aisee
 
😚🙏
🙏🙏
 
Mi nnacho jiuliza kwa nn Joshua alikuwa anaishi mazingira au sehem ambyo c salama kwake
Unamaanisha nini?
Unajua usalama wa Israel?
Pale SUA pana mazingira gani salama ya kuzuia hata vibaka wanaotumia bisibisi tu?
 
Wabongo tuache "sensentionalization" Ya vitu vidogo, kama mna uchungu na damu ya mbongo, mbona hatuoni makala za, mauaji ya makada wa chadema, kama mawazo aliyekatwa mapanga,!
Kuvaa vazi au kitu chenye kufanana na mavazi ya jeshi, haikufanyi uwe mwanajeshi,kule Dar, watu wanatembea na mavazi na mabegi kama ya jeshi, je wamekua wanajeshi?
Isiwe nongwa kwa vile tu, ameuliwa na Arabs, maana kama mna uchungu sana, anzeni kuomboleza vifo vyote walivyofanya kenge wa CCM,
Mateka wote wa Hamas, ama wamekufa kwa mabomu, au kupigwa risasi,
Sasa huyu ilikuaje akauliwa kama vile alikutwa uwanja wa Vita?
Kuna Mambo hayajawekwa wazi, sio waziri, wala barozi wetu ambaye ametoa maelezo.
 
Muongo na mzushi wewe, picha tu inaonyesha ji photoshop, huna huruma kwa bongo mwenzio loh... Ubaya huyu na hao hamas unaowwalinda mtaenda nao motoni... Hii damu ya Joshua iwe juu yako na wote wanaoshabikia uzushi kama huu...!
 
Vita havina macho ukishakuwa uwanja wa damu tegemea chochote
 
Hvii inakuwaje mtu unaua mwenzio kikatili hivi au kwa sababu mweusi ?hebu fatilien kwa kina huyo kijana ni nani najuta sana kuangalia hiyo video halaf et wanasema Mungu Mkubwa?Mungu huyu huyu anaekataa kuua laa!
Peleka na wewe kipunye chako ukaone cha mtema kuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…