share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Eti chama dola!! Hawa ni wahuni dola.Kada wa Chadema angekuwepo kwny mkutano wa CCM kungetokea kitu kama hiki.View attachment 1601408
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti chama dola!! Hawa ni wahuni dola.Kada wa Chadema angekuwepo kwny mkutano wa CCM kungetokea kitu kama hiki.View attachment 1601408
Chadema chama cha amani. Ccm wenyewe wanapenda sera zake.Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu asiyeonekana, mara atafute namna ya kusogea karibu zaidi na alipo Mh. Lissu, mara atafute nafasi ya kusikia vizuri zaidi anayasema...lakini wana Chadema hata hawakuhangaika naye!
Sasa nikabaki najiuliza, je hali ingekuwaje kama mwana Chadema ndiye angetinga katika mkutano wa CCM na magwanda yake halafu mara anapiga picha, mara kama vile anawasiliana na mtu, mara anajaribu kusogea na alipo mgombea. Je, kweli angetoka salama?
Nawavulia kofia wana Chadema kwa kutomjali huyu na kutohangaika naye katika hizo juhudi zake hizo pamoja na kuvaa fulana ya hapa kazi tu na. kofia ambayo yawezekana ni ya wana Usalama au vijana wa UVCCM.

Huyo jamaa T-shirt ametinga kama nguo tu anajihifadhi. Lakini ni mwanachadema na siku ya kura anampigia TAL. Ni umaskini tu huko vijijini mtu hata uwezo wa kununua nguo ni mdogo.Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu asiyeonekana, mara atafute namna ya kusogea karibu zaidi na alipo Mh. Lissu, mara atafute nafasi ya kusikia vizuri zaidi anayasema...lakini wana Chadema hata hawakuhangaika naye!