Uchaguzi 2020 PICHA: Ingetokea kada wa CHADEMA ndiye angetinga hivi kwenye mkutano wa mgombea wa CCM, angetoka salama?

Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu asiyeonekana, mara atafute namna ya kusogea karibu zaidi na alipo Mh. Lissu, mara atafute nafasi ya kusikia vizuri zaidi anayasema...lakini wana Chadema hata hawakuhangaika naye!

Sasa nikabaki najiuliza, je hali ingekuwaje kama mwana Chadema ndiye angetinga katika mkutano wa CCM na magwanda yake halafu mara anapiga picha, mara kama vile anawasiliana na mtu, mara anajaribu kusogea na alipo mgombea...je kweli angetoka salama?

Nawavulia kofia wana Chadema kwa kutomjali huyu na kutohangaika naye katika hizo juhudi zake hizo pamoja na kuvaa fulana ya hapa kazi tu na. kofia ambayo yawezekana ni ya wana Usalama au vijana wa UVCCM

Kwa mitusi na na kujiona wajuaji chadema angekimbizwa tuu.
Huyo hapo mstaarabu, katulia, anasikiliza sasa kwanini asiwe salama
 
Hii naifananisha na Mashabiki wa Yanga kwenye Mechi za Simba. Yaan wakitaka kuona Mpira-Burudani Basi wanakujaga kwenye Mechi za Simba wakiwa wamevalia jezi zao za Yanga/CCM na hakuna anaewabughudhi.

Shida Mshabiki wa Simba aende kwenye Mechi za Yanga, mbona atajuta siku hiyo.
 
Kwa mitusi na na kujiona wajuaji chadema angekimbizwa tuu.
Huyo hapo mstaarabu, katulia, anasikiliza sasa kwanini asiwe salama
Acha kukurupuka, eti katulia! Angalia picha zote uone anavyohangaika
 
Mbona CCM wamompaka ndani ya chadema,tena kwenye uongozi wa juu wa chama makao makuu,ni kawaida kwa CCM kufatilia mienendo ya vyama vyote kwasababu ndo wenye nchi leo na kesho.
 
Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu asiyeonekana, mara atafute namna ya kusogea karibu zaidi na alipo Mh. Lissu, mara atafute nafasi ya kusikia vizuri zaidi anayasema...lakini wana Chadema hata hawakuhangaika naye!

Sasa nikabaki najiuliza, je hali ingekuwaje kama mwana Chadema ndiye angetinga katika mkutano wa CCM na magwanda yake halafu mara anapiga picha, mara kama vile anawasiliana na mtu, mara anajaribu kusogea na alipo mgombea...je kweli angetoka salama?

Nawavulia kofia wana Chadema kwa kutomjali huyu na kutohangaika naye katika hizo juhudi zake hizo pamoja na kuvaa fulana ya hapa kazi tu na. kofia ambayo yawezekana ni ya wana Usalama au vijana wa UVCCM
Ukiona wamekaa kimya na hawajamgusa ujue Ccm walikuwa wengi hivi kabisa Chadema ione hiyo rangi isifanye chochote kama Tbc tu ilifukuzwa itakuwa mtu kaenda na tshirt ya ccm kwenye mkutano wa Lissu mtu aliesema waziwazi kuwa haipendi hata Young Africa kwa sababu anaona kama na wao ni Ccm hivyo wabadili jezi ndio anaweza kuifikiria kuishabikia,sasa hapo kaiona Redi hendedi ajasema chochote ujue anatambua mikutano yake wanajaa ccm na vyama vingine chadema ni wachache ila wapiga miluzi ndio mnaropoka.
 
Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu asiyeonekana, mara atafute namna ya kusogea karibu zaidi na alipo Mh. Lissu, mara atafute nafasi ya kusikia vizuri zaidi anayasema...lakini wana Chadema hata hawakuhangaika naye!

Sasa nikabaki najiuliza, je hali ingekuwaje kama mwana Chadema ndiye angetinga katika mkutano wa CCM na magwanda yake halafu mara anapiga picha, mara kama vile anawasiliana na mtu, mara anajaribu kusogea na alipo mgombea. Je, kweli angetoka salama?

Nawavulia kofia wana Chadema kwa kutomjali huyu na kutohangaika naye katika hizo juhudi zake hizo pamoja na kuvaa fulana ya hapa kazi tu na. kofia ambayo yawezekana ni ya wana Usalama au vijana wa UVCCM.

Kama ni wa kujifunza jambo atakuwa amejifunza na hasa ile kauli ya upinzani siyo uadui
 
Huo unaitwa ustaarabu katika kisiasa, ni tofauti sana na primitivity inayooneshwa na CCM katika kauli, matendo na uongozi. Hii ndiyo sababu kubwa kwa sasa hofu imemjaa Magufuli...Watanzania waliozinduka wanaanza kutambua ambacho tumekuwa tukikiita ushamba na ulimbukeni. CCM sasa inaongozwa na washamba na limbukeni na ni hatari kwa taifa kuongozwa na watu wa aina hii, tarehe 28/10/2020 tuwarudishe makwao wakajifunze ustaarabu. Hebu angalieni hapa...

Untitled-3.jpg

Wengi katika hawa waliobeba silaha mbali mbali wakimshambulia mwana Chadema hivi sasa ni viongozi katika awamu hii...wapo viongozi wa serikali kama mawaziri, wapo wabunge na wapo viongozi wa Chama Cha Mapinduzi, CCM! Ni hatari!
 
Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu asiyeonekana, mara atafute namna ya kusogea karibu zaidi na alipo Mh. Lissu, mara atafute nafasi ya kusikia vizuri zaidi anayasema...lakini wana Chadema hata hawakuhangaika naye!

Sasa nikabaki najiuliza, je hali ingekuwaje kama mwana Chadema ndiye angetinga katika mkutano wa CCM na magwanda yake halafu mara anapiga picha, mara kama vile anawasiliana na mtu, mara anajaribu kusogea na alipo mgombea. Je, kweli angetoka salama?

Nawavulia kofia wana Chadema kwa kutomjali huyu na kutohangaika naye katika hizo juhudi zake hizo pamoja na kuvaa fulana ya hapa
Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu asiyeonekana, mara atafute namna ya kusogea karibu zaidi na alipo Mh. Lissu, mara atafute nafasi ya kusikia vizuri zaidi anayasema...lakini wana Chadema hata hawakuhangaika naye!

Sasa nikabaki najiuliza, je hali ingekuwaje kama mwana Chadema ndiye angetinga katika mkutano wa CCM na magwanda yake halafu mara anapiga picha, mara kama vile anawasiliana na mtu, mara anajaribu kusogea na alipo mgombea. Je, kweli angetoka salama?

Nawavulia kofia wana Chadema kwa kutomjali huyu na kutohangaika naye katika hizo juhudi zake hizo pamoja na kuvaa fulana ya hapa kazi tu na. kofia ambayo yawezekana ni ya wana Usalama au vijana wa

Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu asiyeonekana, mara atafute namna ya kusogea karibu zaidi na alipo Mh. Lissu, mara atafute nafasi ya kusikia vizuri zaidi anayasema...lakini wana Chadema hata hawakuhangaika naye!

Sasa nikabaki najiuliza, je hali ingekuwaje kama mwana Chadema ndiye angetinga katika mkutano wa CCM na magwanda yake halafu mara anapiga picha, mara kama vile anawasiliana na mtu, mara anajaribu kusogea na alipo mgombea. Je, kweli angetoka salama?

Nawavulia kofia wana Chadema kwa kutomjali huyu na kutohangaika naye katika hizo juhudi zake hizo pamoja na kuvaa fulana ya hapa kazi tu na. kofia ambayo yawezekana ni ya wana Usalama au vijana wa UVCCM.
Upuuzi mtupu.
 
Huo unaitwa ustaarabu katika kisiasa, ni tofauti sana na primitivity inayooneshwa na CCM katika kauli, matendo na uongozi. Hii ndiyo sababu kubwa kwa sasa hofu imemjaa Magufuli...Watanzania waliozinduka wanaanza kutambua ambacho tumekuwa tukikiita ushamba na ulimbukeni. CCM sasa inaongozwa na washamba na limbukeni na ni hatari kwa taifa kuongozwa na watu wa aina hii, tarehe 28/10/2020 tuwarudishe makwao wakajifunze ustaarabu. Hebu angalieni hapa...

View attachment 1602180
Wengi katika hawa waliobeba silaha mbali mbali wakimshambulia mwana Chadema hivi sasa ni viongozi katika awamu hii...wapo viongozi wa serikali kama mawaziri, wapo wabunge na wapo viongozi wa Chama Cha Mapinduzi, CCM! Ni hatari!

Hilo zee lenye baragashia ni kama limetoka Alshabab
 
CCM Mabango.jpg

Ushamba na ulimbukeni ni tatizo kubwa...fikiria pesa zinazotumika kwa huu uchafuzi wa mazingira. Hizo hela si heri wangempa mwenye kibanda atengenezee hilo banda la mbavu za mbwa!
 
Back
Top Bottom