Uchaguzi 2020 PICHA: Ingetokea kada wa CHADEMA ndiye angetinga hivi kwenye mkutano wa mgombea wa CCM, angetoka salama?

Chadema chama cha amani. Ccm wenyewe wanapenda sera zake.
 
Chadema chama cha amani. Ccm wenyewe wanapenda sera zake.
 
Huyo jamaa T-shirt ametinga kama nguo tu anajihifadhi. Lakini ni mwanachadema na siku ya kura anampigia TAL. Ni umaskini tu huko vijijini mtu hata uwezo wa kununua nguo ni mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…