Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Uongo, nakubaliana na ww kuwa watoto wana mgao mkubwa ila syo mjane, mjane ana mgao wa kawaida tu
Umesoma ukaelewa wapi nimesema mjane anamgao mkubwa watoto ndo wana mgao mkubwa hao wadogo kushinda wakubwa hizo zinazobaki ndo wanagawana jacky anamgao wake hata kama ni 1% nae yupo kwenye urithi
 
kwanini mzee unaoa binti mdogo vitu vingine wanaume tunajitakia.

tunajua kabisaa kumridhisha ni ngumu kuoa binti mdogo ni ubinafsi nakumtesa huyoo binti kwa manyege.
Jameni tuelewane!
Jack sio mdogo.....above 35yrs mnasemaje ni mdogo?tuseme Jack amekubuhu kwenye umalaya na Mengi alikuwa ameshachoka....ila Mengi angechukua "mtoto wa late 20's ange-enjoy sana"
 
Hiyo Kesi itaisha haraka Sana kwasababu Mke mkubwa wa Mengi marehemu ana haki kuliko huyu Kylin aliekuja Mali zikiwa zimechumwa Tayari. Kylin hapewi kitu wale watoto watapewa wakapewa kiasi Kwa huruma ya watoto wakubwa Wa Mengi
Kitu nilichokiona mpaka sasa serikali na wanasheria watamgeuka huyu mwanamke sheria zitapindishwa vya kutosha maana wengi hawajafurahia kifo cha ghafla cha mzee
 
Mgao huo hauhusishi hizo mali, inahusisha cash, hakuna mali aliyochuma naye... zote kazikuta[emoji3]. Bahat mbaya matajiri hawana cash, na kama ipo kiduchu
Umesoma ukaelewa wapi nimesema mjane anamgao mkubwa watoto ndo wana mgao mkubwa hao wadogo kushinda wakubwa hizo zinazobaki ndo wanagawana jacky anamgao wake hata kama ni 1% nae yupo kwenye urithi
 
Iyo vita usishangae nayeye ikamuondoa duniani akamfuata mzee......kilimanjaro hatoki boya yani umpe urithi demu wa nje ya moshi kisa ****
 
Mgao huo hauhusishi hizo mali, inahusisha cash, hakuna mali aliyochuma naye... zote kazikuta[emoji3]. Bahat mbaya matajiri hawana cash, na kama ipo kiduchu

Point sana,

Atapata mgawo wa alicho kitafuta yeye na Mzee sio atake alivo vikuta ,
 
Watu wengine wanajadili bila kuijua sheria ya ndoa,
Mali ambazo atakazopata Jack ni zile alizochuma pamoja na Mzee Mengi,
Kama hakuchuma nae chochote ni zile alizokuta Jack hatapata chochote [emoji108][emoji108]
Na hata kama alimrubuni amwandikie urithi akiwa hai bado sheria inamapana na watoto wakubwa wanaweza kusema kuwa tangu amuoe huyu Bibi mdogo Mzee sababu ya umri akili yake haikuwa kawaida !
 
Yes hata mimi nijuavyo, mali za wazaz ni urithi wa watoto maana mke/anaweza kuwa na mwenza wake mwingne

Sanasana kama kuna pesa ipo basi mjane/mgane anaweza kuambulia
 
Huyu bidada atakuwa katika wakati mgumu ,sababu kuna vigogo wengi na Mzee alikuwa tyata kweli kweli
 
Kwa sheria yawapi unaijua sheria wewe hata wangefanya kazi miaka200 hao washakuwa wakubwa wanajitegemea wenye urithi mkubwa ni watoto wa jacky hakuna huruma ya mtu hapo
 
Mali walizochuma pamoja baada ya ndoa ndo Jack atapata mgawo sasa sijui zipo?
 
mtoto akishakuwa anaondoka kwao kwenda kujitegemea na kuanzisha family yake,mke nabaki palepale na mme hadi kifo kiwatenganishe,lakini hata baada ya kifo,mke pale ni kwake bado,watoto wadogo pale ni kwao,automatically favour iko kwa mjane na watoto wadogo kuliko hao wakubwa wanaojitegemea
 
Mgao huo hauhusishi hizo mali, inahusisha cash, hakuna mali aliyochuma naye... zote kazikuta[emoji3]. Bahat mbaya matajiri hawana cash, na kama ipo kiduchu
Miaka5 ya ndoa unadhani hana mchango wake jifariji sasa hapo ndo maana nikasema hata kama ni 1% nae yupo kwenye urithi kisheria
 
Hata Yule Mjane bimdogo wa marehem Prof Maji Marefu ,
Amehangaika kwenye vyombo vya habari n.k
Lakini familia na wake wenzake na wazazi wa Prof wamemwambia mali zinazomhusu ni zile alizochuma na marehem mumewe, zingine za wake wenzie wakubwa na watoto wao ndiyo walochuma na marehe mume wao,

Bibi Yule kapewa gari sijui ambalo marehem alinunua alipomuoa na kulitembelea pamoja [emoji108][emoji108][emoji108]
 
Madam alimzawadia kitumbua waziri kijana wa enzi zile. Madam na Klyn walikua ma best, mzee hakwenda mbali.

Hayo ndiyo mambo ya mujini.
Hahahhah yule waziri kijana mtanashati .

Aliyependwa sana MTU wa pwani hahahh


Halafu kuna siku niliwahi ona picha yao wamesimama baada ya waziri kijana kuwa mzee miaka ya hivi karibuni .

Chemistry ya ile jinsi nilivyoisoma I knew something had happened between them during absence of daylight ,I mean gizani

Hahahahah ila madam msupu nyie.

The MILF I fantasy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…