Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Mengi aliuguzwa na mercy mkewe wa Zamani Baada ya stroke.huyu jack alikuwa mlevi tuuu.mengi alichanganyikiwa mkewe alivyokufa.jack hakualikwa ,


Nimekipata vyema sasa Mkuu .Asante kwa ufafanuzi .

Mara nyingi Mke wa kwanza wa mwanaume anakuwaga na uchungu na mumewe ukizingatia kama wametoka mbali,,sio hawa wa make up box na kingereza cha so so
 
kwanini mzee unaoa binti mdogo vitu vingine wanaume tunajitakia.

tunajua kabisaa kumridhisha ni ngumu kuoa binti mdogo ni ubinafsi nakumtesa huyoo binti kwa manyege.
Mkuu nakusoma ila kuna changamoto ambazo ni ngumu kuzifahamu kabla hujafikia umri husika.

Ukiwa Mzee na pesa ipo utahitaji ule kitu roho inapenda, na kama 'vinafikika' basi ndio kabisaaa....kiukweli ni changamoto.

Na wanapoingia walahi watakuhakikishia kwa Miungu yote kwamba kila kitu kitakuwa sawa, na unawajua tena hawa 'viumbe wenzetu'...a.k.a kina Delila...ili hali tayari wanakuwa na target zao.
 
Nimekipata vyema sasa Mkuu .Asante kwa ufafanuzi .

Mara nyingi Mke wa kwanza wa mwanaume anakuwaga na uchungu na mumewe ukizingatia kama wametoka mbali,,sio hawa wa make up box na kingereza cha so so

Sheria ni sheria, haiangalii upendo wala huruma,
 

Jamaaa yaelekea alikua intellectually very average maana huwezi kua na decision making skills suspect namna hii....

Kichwa cha chini mzee kwa ukwasi na exposure aliyonayo mzee hawezikosa pussy yoyote anayoitaka off books!

Sijui ni akili gani zilimtuma kwenda kuoa na kusaini makaratasi kibwege namna hiyo....

Imagine everything vipo kwa jina la MENGI then this bitch apate hiyo 50% then aolewe na huyo Muarabu bwana sijui Abdulaziz then by swapping hiyo mali yote inakua under name Abdulaziz

Yaani wealth inahama through marriage!

Such a dumb thing to do aisee!
 
Kama mzee alifanya hivo atakuwa alitumia busara zake sana na elimu ili kuepesha ugomvi baade.


Hivi kwanini wanawake wanaaminigi kuwa mwanaume ndo ataanza kufa kwanza ndo afuate yeye.

Statistically and naturally, women live longer than men.
 
Mercy alikuwa na 75 asilimia ya mali na nina dhani hata kabla hajafa walikuwa na kesho mahakamani yeye na mumewe hivyo 25 ndiyo za Mengi
Katika 25 ndiyo wagawane watoto wote na mjane lakini siyo kile alichochuma Mercy
 
Hii technique aliutumia Rollin Stone alpoachana na mke wake. Alimuoa kwenye visiwa vya Fiji kumbe kwa sheria za Uingereza walikoachania ndoa haijulikani. Jamaa aliingia kutoa children maintenance tu.
 
Ivi bidada alilazimisha kuolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…